Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kiranga,
Ahsante.
Sasa Mzee.., sioni wapi huyu bwana ametukana Imani yoyote.., na Imani ni Imani unachagua unachoamini hakuna haja ya kuwa na proof.., ila jamaa amekuuliza iweje hii imani ambayo inatusaidia wote hata tusiojua kusoma iweze tu kueleweka kwa watu wa lugha fulani na si nyingine.., sisi wengine tumemkosea nini huyo muumba kama anatunyima opportunity ya wokovu...Kiranga,
Hapana neno unaweza kuamini upendavyo hii ni nchi huru mwananchi anaweza kuwa na imani yoyote hapana tabu.
KeyserSasa Mzee.., sioni wapi huyu bwana ametukana Imani yoyote.., na Imani ni Imani unachagua unachoamini hakuna haja ya kuwa na proof.., ila jamaa amekuuliza iweje hii imani ambayo inatusaidia wote hata tusiojua kusoma iweze tu kueleweka kwa watu wa lugha fulani na si nyingine.., sisi wengine tumemkosea nini huyo muumba kama anatunyima opportunity ya wokovu...
Pili unapojibu sawa au kukataa kumjibu unakuwa hautendei haki ujuzi wako au utaalamu wako.., sababu unachagua wa kumuelewesha as well as kumwambia yeye humwabii yeye kama yeye bali wote ambao wanasoma platform hii..
Ila kama mtu anayejua imani yake katika mjadala huu una kila sababu ya kumjibu kile ambacho unadhani hajui, kwa kujibu kile alichokiuliza.. (hata kama anakebehi) kumjibu yeye ni kuwajibu pia wanaosoma.., hizi imani zina paradox nyingi sana.... na mimi sina neno kwa kila anyeamini bali tu pale anapoona imani yake ni superior kuliko mwingine au anapoita imani ni sayansi.., au kuleta mambo ya kiroho kwenye mambo ya kidunia..., ukizingatia sisi ni wapitaji kwenye hii dunia ambayo sio yetu tu bali ni ya generation ijayo... (mchanganyiko huu ndio unaoleta maafa na watu wengine kuwachukia wengine i.e. wasafiri wenzao, pasi na sababu)Keyser
Hapana namjibu kuwa ana haki ya kuamini atakavyo mimi sina mamlaka ya kumpinga katika mjadala huu.
Keyser,Ila kama mtu anayejua imani yake katika mjadala huu una kila sababu ya kumjibu kile ambacho unadhani hajui, kwa kujibu kile alichokiuliza.. (hata kama anakebehi) kumjibu yeye ni kuwajibu pia wanaosoma.., hizi imani zina paradox nyingi sana.... na mimi sina neno kwa kila anyeamini bali tu pale anapoona imani yake ni superior kuliko mwingine au anapoita imani ni sayansi.., au kuleta mambo ya kiroho kwenye mambo ya kidunia..., ukizingatia sisi ni wapitaji kwenye hii dunia ambayo sio yetu tu bali ni ya generation ijayo... (mchanganyiko huu ndio unaoleta maafa na watu wengine kuwachukia wengine i.e. wasafiri wenzao, pasi na sababu)
sasa mkuu karne hii ya watu wapo busy 24/7 waanze kusoma mhadhara wakati ungeweza ku-digest jibu kwa sentensi moja unadhani wangapi wana muda huo au hata bundle na mbs za kufanya hivyoKeyser,
Nimeweka hapo juu mhadhara niliotoa Chuo Kikuu Cha Johannesburg mwaka wa 2006.
Usome kuna mengi ya kuzingatia katika mjadala kama huu wa Kiranga.
Mkuu, we ulijuaje kama watahiniwa wale wa darasa la saba 71% ni waislamu? Maanake wale watoto walitumia namba and hence nambers hazina dini, how did you know? Isije ikawa ndio ule ule uongo unaotengenzwa maabara halafu unaletwa mtaani na sisi tunamezeshwa tu. HAlafu, tuweni wakweli, watoto 71% ni waislamu and then 29% ni Wakristo, so hakuna wapagani wala Budhha au dini zingine isipokua waislamu na Wakristo tu? Again, siamini kama Waislamu mpo wengi hivyo, nambie tu, ulijuaje hiyo % yao.Mazindu,
Mimi nataka tujadili na nakuwekea hapa bandiko tuanze mjadala:
''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo Bungeni 1999).
Mazindu,
Shule kweli zimetaifishwa lakini hali ndiyo hiyo hapo juu.
Mazindu...Mkuu, we ulijuaje kama watahiniwa wale wa darasa la saba 71% ni waislamu? Maanake wale watoto walitumia namba and hence nambers hazina dini, how did you know? Isije ikawa ndio ule ule uongo unaotengenzwa maabara halafu unaletwa mtaani na sisi tunamezeshwa tu. HAlafu, tuweni wakweli, watoto 71% ni waislamu and then 29% ni Wakristo, so hakuna wapagani wala Budhha au dini zingine isipokua waislamu na Wakristo tu? Again, siamini kama Waislamu mpo wengi hivyo, nambie tu, ulijuaje hiyo % yao.
Keyser...sasa mkuu karne hii ya watu wapo busy 24/7 waanze kusoma mhadhara wakati ungeweza ku-digest jibu kwa sentensi moja unadhani wangapi wana muda huo au hata bundle na mbs za kufanya hivyo
Labda uulize na wewe, mimi nimemuuliza naona kakimbia mjadala.Sasa Mzee.., sioni wapi huyu bwana ametukana Imani yoyote.., na Imani ni Imani unachagua unachoamini hakuna haja ya kuwa na proof.., ila jamaa amekuuliza iweje hii imani ambayo inatusaidia wote hata tusiojua kusoma iweze tu kueleweka kwa watu wa lugha fulani na si nyingine.., sisi wengine tumemkosea nini huyo muumba kama anatunyima opportunity ya wokovu...
Pili unapojibu sawa au kukataa kumjibu unakuwa hautendei haki ujuzi wako au utaalamu wako.., sababu unachagua wa kumuelewesha as well as kumwambia yeye humwabii yeye kama yeye bali wote ambao wanasoma platform hii..
Kiranga...Labda uulize na wewe, mimi nimemuuliza naona kakimbia mjadala.
Hivi watu na akili zetu tunaambiwa kabisa kwamba, Mungu kashusha Quran Kiarabu, sisi Wamakonde hatuielewi mpaka tujue Kiarabu.
Na sisi Wamakonde tunakubali kweli?
Kwamba Mungu kashusha maneno ya kuelezea kumjua yeye katika Kiarabu?
Na sisi tusiojua Kiarabu na kushindwa kuwa na access sawa na Waarabu, tusipomjua Mungu tutaadhibiwa sawa na Waarabu?
Tunakubali Mungu kawachagua Warabu na katusahau sisi? Mungu gani mbaguzi hivyo?
Tunakubali tukiswali wote tusujudie Mecca, kama kwetu hakuna utakatifu Mungu katubagua, patakatifu ni Mecca tu?
Yani hizi habari watu na akili zao wanakubali mpaka leo 2019?
Halafu Ataturk aliposema hatuwezi kuendesha nchi kwa kufuata dini kusujudia Mecca, kwa sababu na sisi tuna nchi yetu, mnamsema kafanya vibaya?
Wasiokimbia huonesha hilo kwa vitendo.Kiranga...
Mimi nikukimbie wewe?
Nimefanya mijadala kwingi tena kila nikiangalia hadhira ni sura sijapatapo kuziona hata siku moja na watu wajuzi.
Nije kukukimbia wewe niko hapa nyumbani kwangu?
Sorry.Kiranga...
Mimi nikukimbie wewe?
Nimefanya mijadala kwingi tena kila nikiangalia hadhira ni sura sijapatapo kuziona hata siku moja na watu wajuzi.
Nije kukukimbia wewe niko hapa nyumbani kwangu?
View attachment 1195921
Nimefanya vipindi kama hivi vingi vya maswali na majibu katika radio, tv ndani na nje ya Tanzania na mimi mwenyewe ni broadcaster nitafute You Tube kuna vipindi vyangu vingi nije nikukimbie wewe unaeandika umelificha jina lako?
View attachment 1195924
Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.Sorry.
Wewe ni yupi katika hiyo picha?
Kabisaaa, ingekuwa Mungu analipa kila ubaya anaofanyiwa basi hakuna mwanadamu aliyehai angeendelea kuishi ktk huu ulimwengu.Hakuna lolote hapo,Mashekhe tu walifanya yao,Maduadua ya vitabu vyao ndio yamemkuta huyo Mheshimiwa,ila si Mungu aliye zuia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hoja zako ulizotoa unadhani atajibu nini?Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.
Kama vile picha ndiyo zinajibu hoja.
Hajui hapa watu tunaangalia hoja tu, hatuangalii picha.
Kuna watu wamehutubia United Nations General Assembly na bado wakasema ujinga.
Itakuwa yeye?
Hoja inajibiwa kwa hoja. Kutisha watu kwa picha zisizohusiana na hoja ni ujinga.
Kiranga,Wasiokimbia huonesha hilo kwa vitendo.
Hata ukiandika hujakimbia, kama hujajibu hoja, umekimbia tu.
Hujajibu hoja.
Mpaka sasa, licha ya kujibu, umekimbia.
Sikusema umenikimbia mimi, nimesema umekimbia mjadala.
Na mpaka sasa umekimbia mjadala, kwa sababu hujajibu hoja zangu.
Badala ya kujibu hoja nilizoleta, unajitetea hujanikimbia (kitu ambacho sijasema, sijasema umenikimbia, nimesema umekimbia mjadala, unajua tofauti ya haya mawili?)
Unaelewa kwamba mpaka sasa bado umekimbia mjadala?
Idiot...Sorry.
Wewe ni yupi katika hiyo picha?
Kiranga,Jamaa badala ya kujibu hoja, anaweka picha kibao.
Kama vile picha ndiyo zinajibu hoja.
Hajui hapa watu tunaangalia hoja tu, hatuangalii picha.
Kuna watu wamehutubia United Nations General Assembly na bado wakasema ujinga.
Itakuwa yeye?
Hoja inajibiwa kwa hoja. Kutisha watu kwa picha zisizohusiana na hoja ni ujinga.