Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nilikua shuleni darasa la5, kengele ikapigwa ya dharura tukajulishwa msiba wa taifa tukarudishwa home

Njiani tunakutana na nyimbo za maombolezo basi tukaanza na sisi kulia hasa tulivosikia vita itakuja.,.
Katoto ka jana tu.
 
Huyu Mwl sikuwa namfahamu kabla! Kwa huo mwaka bado hata shule sijaanza!!
 
nilikuwa nimeanza kazi mwaka wa kwanza kuajiriwa KCMC Hospital,tukakula lunch Raisi mkapa katangaza msiba mkubwa kupitia ITV huku akitokwa na machozi.
 
hahaha kumbe wengi wadogo humu. nlikua kazini mitaa ya ohio Dar. kazini ilikua ni mwaka wa pili. chuo nlishamaliza na CPA juu.
Hahahhh Mkuu hata Mimi nilikuwa tayari muajiriwa barabara ya bagamoyo karibu na city center
 
Mi nlikua na appointment ya kukifungua kipochii manyoya ikabidii tuhahirishe iyo Siku.
 
Nilikua std 6 Niko mwananyamala Mara nkaona Komba anaombolezaa eti Nyerere kafa...

Nakumbuka nilienda hadi taifa kuuona mwli wake!
Mwananyamala ulikua unaishi au kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…