sandraeli
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 1,431
- 2,392
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umeonaeee, sie wakati huyo jamaa anakufa tuwatu wazima kabisa na k tunakula. Nashangaa wengi wanasema lapili mara darasa la tatu, si bora hao walokuwa form 4. Ndo maana tunapojadili maswala ya msingi huku tunakuwa na shida sana kumbe watoto wamejaaa aghhhhhrrrri.
Natania tu bwana watotot msiogope, nyie ndo mnafanya JF isiwe boared, I like you kids.