Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nmetoka fanya mazoezi ya graduation baada ya kumaliza la darasa 7B. Nafika home kama kawa kwanza nachungulia dirishani nani yupo ndani. Kupitia dirishani naona matangazo ya TVT yakitangaza kifo cha Nyerere.

Tukafutiwa na graduation yetu.
 
nakumbuka wakati kengere inagongwa mi nikapata chance ya kumkula doreen, wengine woote wakiwa mstarini...nilikuwa kidato cha kwanza.
 
nakumbuka wakati kengere inagongwa mi nikapata chance ya kumkula doreen, wengine woote wakiwa mstarini...nilikuwa kidato cha kwanza.
 
Njuka wengi Jf aise,kumbe tuliokula Chumvi nyingi tuko wengi sana,
Basi ndio hivyo.
 
Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa tuition, mchikichini.

Sitasahau hii siku.
 
Mi siku hiyo ndo nliuza ubikra wangu kwa binti wa kihaya, maana baada ya kutangaziwa kuwa nyerere kafa yaan asubuhiasubuhi rafiki yangu alokuwa ananikuwadia kwa mschana wa kinyarwanda akaja kuniambia dem kakubali kwenda kumegwa, yaan hata chai sikunywa kwa furaha nilokuwa nayo. Nlimmega toka saa nne hadi saa 12 jioni. Nlitoka huko mwili mzima unauma miguu imelegea kwa mgegedo nlioutoa
Sijaelewa, kwam we ni ME au KE
 
Nilikuwa darasa la pili huko Maramba b primary school iko Tanga nakumbuka nilikuwa naingia darasani saa nne asubuhi kipindi wanatangaza kifo cha mwalimu Nyerere
 
Actually nilikua home sikua naelewa sana kuhusu yeye cha ajabu nilipatwa na mfadhaiko na kila niliemuona alikua na huzuni
 
Shule ya msingi. ..darasa la nne. .kiukweli niliposikia kengele na kuambiwa turudi nyumbani nilifurahi sana
 
Back
Top Bottom