Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Sijaelewa, kwam we ni ME au KEMi siku hiyo ndo nliuza ubikra wangu kwa binti wa kihaya, maana baada ya kutangaziwa kuwa nyerere kafa yaan asubuhiasubuhi rafiki yangu alokuwa ananikuwadia kwa mschana wa kinyarwanda akaja kuniambia dem kakubali kwenda kumegwa, yaan hata chai sikunywa kwa furaha nilokuwa nayo. Nlimmega toka saa nne hadi saa 12 jioni. Nlitoka huko mwili mzima unauma miguu imelegea kwa mgegedo nlioutoa
Watoto wa mwalimu kajiruDarasa la nne, Bunge primary!!ikapigwa kengele ya dharura.
Kwani shuleni kwenu mlipata hizo taarifasaa ngapiShule ya msingi. ..darasa la nne. .kiukweli niliposikia kengele na kuambiwa turudi nyumbani nilifurahi sana