Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Saa nne asubuhi
Sema darasa la nne ulikua angalau unajitambua, mie nachokumbuka baada ya kupata taarifa tu nilifadhaika japo sikuwa hata na uelewa mpana kuhusu yeye bad enough alikufa siku yangu ya kuzaliwa
 
Mimi mwenyewe nilikua simjui..alietufahamisha ni mwalimu wa tuition. .nakumbuka hiyo siku tumetoka kusoma akawa amepata taarifa ..akatueleza ndio hapo nikafahamu kama Taifa hili lilikua na Baba wa Taifa..tukafika shule kengele ikapigwa ndipo tulipopata taarifa kamili
 
Baada ya kupata taarifa lakini uliumia hata kidogo? Kama yes unahisi kwanini uliumia wakati hukuwa na knowledge yoyote kuhusu yeye
 
Sikuumia..akili yangu ilikua inawaza kurudi nyumbani tu
 
Lukanga primary Misungwi Mwanza school standard two
 
Noma kweli, home wote walikua na majonzi nami nikaliunga
Mimi nlimkuta bimkubwa ana majonzi na majirani karibia wote wamejazana wanaomboleza..makochi yote wametoa nje mtu nyomi ndani ya nyumba
 
Lakini bado hata hukupata ki huruma, roho yako ilikua ngumu
 
Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Mkuu naona tumesoma shule moja..mi nilikuwa madarasa ya chini kidogo
 
Daah mi Nlikua banda la muvi enzi hizo kiingilio 50 (nlikua hata sijaanza primary)

Nilikua nacheki muvi ya "Shokshugi" ya kininja mara ghafla mwenye banda akatoa muvi akaweka TVT, nikaona nymbo za maombolezo tu hata sielewi nin kinaendelea... Aaaah nlimaindi kinoma mana hafa nyerere nlikua cmjui ikabidi nipayuke "bro vp mbona umetoa muvi" eti akanijibu oooh we hujui nyerere kafa

Aaaah ikabidi niulize tu kwani nae ni steringi wa hii muvi au, yaan amekufa na picha limeisha!? Nikashangaa konzi tu linakuja kichwani na nikatimuliwa bandani[emoji28][emoji28]
 
Chai
 
Watoto wa mwalimu kajiru
yap, madam Nzowa cku ile machozi yalimtoka pale assemble, Bunge primary wale walimu kazi yao ilikuwa kwenye damu' walikuwa wanajituma sana mwombeki,kapinga,shirima,beatrice,manyama,kanyambo,urassa, madilu ..
 
Dah nakumbuka ilikuwa maandalizi ya sherehe DRS LA 7,Mugeza Mseto hiyo.alafu disco ni FOCUS.pindi tunasikiliza matukio radio free Africa asubuhi,ndo ngoma ikatangazwa.Mazishi tuliangalizia kwa Babu yangu Hamugembe,omukishenye.alikuwa na TV Hitachi inch.14.
 
Nilikuwa na miaka 5 nilijua Kuna msiba mkubwa Sana na eliefariki ni Rais wa Nchi...!!
 
Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Hahaa yaani mwenye nyumba ana mlilia Nyerere " walikuwa wana fahamiana au "...?

eti kama amebakwa ....
 
Back
Top Bottom