Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Saa nne asubuhiKwani shuleni kwenu mlipata hizo taarifasaa ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa nne asubuhiKwani shuleni kwenu mlipata hizo taarifasaa ngapi
Sema darasa la nne ulikua angalau unajitambua, mie nachokumbuka baada ya kupata taarifa tu nilifadhaika japo sikuwa hata na uelewa mpana kuhusu yeye bad enough alikufa siku yangu ya kuzaliwaSaa nne asubuhi
Mimi mwenyewe nilikua simjui..alietufahamisha ni mwalimu wa tuition. .nakumbuka hiyo siku tumetoka kusoma akawa amepata taarifa ..akatueleza ndio hapo nikafahamu kama Taifa hili lilikua na Baba wa Taifa..tukafika shule kengele ikapigwa ndipo tulipopata taarifa kamiliSema darasa la nne ulikua angalau unajitambua, mie nachokumbuka baada ya kupata taarifa tu nilifadhaika japo sikuwa hata na uelewa mpana kuhusu yeye bad enough alikufa siku yangu ya kuzaliwa
Baada ya kupata taarifa lakini uliumia hata kidogo? Kama yes unahisi kwanini uliumia wakati hukuwa na knowledge yoyote kuhusu yeyeMimi mwenyewe nilikua simjui..alietufahamisha ni mwalimu wa tuition. .nakumbuka hiyo siku tumetoka kusoma akawa amepata taarifa ..akatueleza ndio hapo nikafahamu kama Taifa hili lilikua na Baba wa Taifa..tukafika shule kengele ikapigwa ndipo tulipopata taarifa kamili
Sikuumia..akili yangu ilikua inawaza kurudi nyumbani tuBaada ya kupata taarifa lakini uliumia hata kidogo? Kama yes unahisi kwanini uliumia wakati hukuwa na knowledge yoyote kuhusu yeye
Noma kweli, home wote walikua na majonzi nami nikaliungaSikuumia..akili yangu ilikua inawaza kurudi nyumbani tu
Mimi nlimkuta bimkubwa ana majonzi na majirani karibia wote wamejazana wanaomboleza..makochi yote wametoa nje mtu nyomi ndani ya nyumbaNoma kweli, home wote walikua na majonzi nami nikaliunga
Lakini bado hata hukupata ki huruma, roho yako ilikua ngumuMimi nlimkuta bimkubwa ana majonzi na majirani karibia wote wamejazana wanaomboleza..makochi yote wametoa nje mtu nyomi ndani ya nyumba
Mkuu naona tumesoma shule moja..mi nilikuwa madarasa ya chini kidogoLazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
ChaiDaah mi Nlikua banda la muvi enzi hizo kiingilio 50 (nlikua hata sijaanza primary)
Nilikua nacheki muvi ya "Shokshugi" ya kininja mara ghafla mwenye banda akatoa muvi akaweka TVT, nikaona nymbo za maombolezo tu hata sielewi nin kinaendelea... Aaaah nlimaindi kinoma mana hafa nyerere nlikua cmjui ikabidi nipayuke "bro vp mbona umetoa muvi" eti akanijibu oooh we hujui nyerere kafa
Aaaah ikabidi niulize tu kwani nae ni steringi wa hii muvi au, yaan amekufa na picha limeisha!? Nikashangaa konzi tu linakuja kichwani na nikatimuliwa bandani[emoji28][emoji28]
yap, madam Nzowa cku ile machozi yalimtoka pale assemble, Bunge primary wale walimu kazi yao ilikuwa kwenye damu' walikuwa wanajituma sana mwombeki,kapinga,shirima,beatrice,manyama,kanyambo,urassa, madilu ..Watoto wa mwalimu kajiru
huko ndio ulipokuwa pindi nyerere alipo kufa ""?Jf imevamiwa na watoto siku hizi!
ndio maana ufacebook mwingi sana humu
Hahaa yaani mwenye nyumba ana mlilia Nyerere " walikuwa wana fahamiana au "...?Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa