Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kuwa umeandika hapa basi ''tahalifa wenda'' zitawafikia wahusika.Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja KWA moja....
Sawa mkuu ingawaje nilirekebisha. Pole kwa kuelewa kwa mbinde
Umemkosoa mwenzio, na wewe hapa jua: ^Kiingereza^ inaanza kwa herufi kubwa, sawa!???Dogo mimi brother wako sijui kiingereza ila hiyo sentensi ya mwisho naona umechemka..."more up to date..." Hii ilibidi uandike "more updates..." kwa mujibu wa mwalimu wangu Ras Simba!
Ndiyo ufanye bidii zaidi ili hata angefanyiwa mtihani na huyo the so-called ^recture^ 🙂 , asiweze kufikia japo nusu ya alama zako za ufaulu.Kwani Rushwa ya ngono haina negative effect kwa sisi vijana wa kiume?
Wa kike anapopewa GPA fake kisa tu katiwa na recture hauoni kwamba na Mimi kama mtoto wa kiume napata matokeo yasiyo na uhalisia kwa kuzidiwa na mtoto wa kike?...
Kama umeshindwa tu Kuandika vyema neno Taarifa na unaandika Tahalifa na hata Uandishi wako nao Kimpangilio ni wa hovyo hovyo tutaamini vipi haya uyasemayo au madai yako?Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja KWA moja...
Kufuga na kulima hakutakiwi uwe na degree? Umekosea sana kuzichukulia hizi sekta kama ushonaji wa vyandarua."Vijana kasomeni mjielimishe lkn kazi hakuna" ....Tabasamu.
Sasa ninyi mlio vyuo vikuu mnasoma mpk chuo kikuu ili uje kufungua kiduka Cha mangi? Duka la nguo? Bodaboda? Kufuga? Kulima? Kufqnya hizo kazi kunahitaji elimu ya chuo kikuu?
ulitoa? nini mkuuElimu ya bongo stress tupu Hadi nilipata depression na ma lecturer kuweni ma empathy basi hasa kwetu wanawake unakuta jitu linataka mbususu basi linakusumbua kwa kukukwamisha usimalize same apply na kukomoa wanaume.
R. I. P kijana I understand situation uliyokuwa unapitia ulale mapema
Duh! Huo mwandiko na hicho kiingereza sasa, unawezakuta na wewe ni eti ni mwanafunzi aliyeko chuo.Well said mkuu, but nafuatilia and by the way sio siku nyingi naenda Mbeya ,why tumpoteze Dactari kwa ujinga tu this blood will up to them ,hii hakubaliki ,mfano hao doctors wanaowafanyia watz hivi je walipata first class KWA under graduate zao ,Kama kweli tumempoteza doctor aliepitia mazingira magum just KWA mafala machache, never give up I will fight direct or indirect
Sikutoa kitu Mimi ila chamoto nilikiona ilibidi nitafte mtu anisaidie ikaisha hyoulitoa? nini mkuu
Pole sana, ila wakati mwingine kuna baadhi ya wanafunzi wa kike hutengeza mazingira ya kutaka kupendelewa kimasomo hasa mwalimu anapokuwa ni kijana; na hii siyo Tanzania tu bali sehemu nyungu za dunia. Nina mifano ya Tanzania na marekani ambako niliwahi kufundisha kwa muda mrefu tangu ningali kijana.Elimu ya bongo stress tupu Hadi nilipata depression na ma lecturer kuweni ma empathy basi hasa kwetu wanawake unakuta jitu linataka mbususu basi linakusumbua kwa kukukwamisha usimalize same apply na kukomoa wanaume.
R. I. P kijana I understand situation uliyokuwa unapitia ulale mapema
thanks ,more up to date as I got the information,[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja KWA moja
UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya,na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital...
Aliekwambia jf tunashindanisha miandiko nani ,laana ya ukoo naona inakutafuna na kukufuata kila ukanyagapo , japo wajiona mzima, ukiendelea utapata haki yako hapohapo ulipoKajifunze kuandika na matumizi sahihi ya lugha ndio uje kuandika upya.
Hueleweki unatoa taarifa,Rai au unaagiza?
Vingine muachie mungu ,binadam wote ni sawa ila sio sawasawaDuh! Huo mwandiko na hicho kiingereza sasa, unawezakuta na wewe ni eti ni mwanafunzi aliyeko chuo.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Tekeleza msemo wa mkuu wa wilaya ya Iringa inatosha , Cha msingi umjua nimelenga niniKama umeshindwa tu Kuandika vyema neno Taarifa na unaandika Tahalifa na hata Uandishi wako nao Kimpangilio ni wa hovyo hovyo tutaamini vipi haya uyasemayo au madai yako?