Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

Kwani acc imefunguliwa lini ,na je hakuna sababu ya kufuatilia kifo Cha kutatanisha , tuliza mmzuka ,kuomba fuatilia kifo nini kisababishi ni kuchafua watu ,we wa wapi ,na umezaliwa Afrika Kama ata imani ya uruma huna
Kifo hiki kinatatanisha vipi?
 
Wakuu Salam kwenu,

Naenda kwenye mada moja KWA moja

UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya,na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,

Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL hospital , hasa iliusu intern na wanafunzi Zi hasa wafanyiao hapo, ok wenda ulikua ni uongo au ukweli maana hatukupata mrejesho,.

Sasa ndugu zangu ipo taarifa imenifikia, kwamba Kuna kijana alikua anaendelea na masomo mwaka wa tano , ila ipo idara ilikua KAZI yake ni kumkandamiza kila akiinua kichwa wanakula kichwa , Kama msemo ulivyo katika vyuo vya Afrika hasa tz,

KWA tahalifa nilizopewa sio kwamba marehem hakuwa vizuri kichwani but ni hulka ya idara husika ambazo hazizidi mbili ambazo zimekua na Tabia ya hovyo na si kila mmoja kwenye idara bali ni wachache wao ambao wenda wanaharibu idara, kwa makusudi ya malengo yao au la

Zaidi ni kwamba KWA mjibu wa taharifa zilizofika, huyu mwanafunzi ,marehem hamjui baba Wala mama hivyo wenda waliokua wamsaport ni ndugu au jamaa ,so alitoweka mazingira ya chuon na kwenda Mwanza Kama wiki mbili na nusu zilizopita ,mwisho ulikutwa mwili ulishaharibika vibaya , ila vyanzo ambavyo vimejaribu wasiliana nami au tuma ujumbe ,vinasema mwanzo wa matatizo yake yameanza punde tu baada ya kufailishwa kwenye idara moja aliokua anarotate Kama sehem yake ya masomo Mara KWA mara

Niwaombeni serikali chunguza chanzo Cha kifo chake , Kama ni ukuda wa idara aliyokuwepo ijulikane , na Kama ni uzembe wa viongozi wa chuo basi taratibu zifuatwe , na Kama kajiziru mwenyewe na hakua mwanafunzi ijulikane thanks ,more up to date as I got the information,
Pamoja na kwamba nimeelewa hoja yako ,uandishi wako una matege mengi Sana.Kuhusu kufelishwa haiwezi kukihukumu chuo kwamba kimesababisha kifo,hilo kama ni tatizo laweza kushughulikiwa kusaidia wengine lakini huwezi kulitumia kama sababu ya kifo.Sababu ya kifo Ni lile tendo lililomtoa uhai ama suicide,manslaughter ama murder.
 
Tunashukuru kwa taarifa na poleni kwa kuondokewa na mwenzenu.

Jaribu kufanyia kazi haya hapa chini na mengine ambayo hauko vizuri katika uandikaji wako, ili taarifa zako ziweze kuwafikia watu bila usumbufu au ukakasi wakati wa kuzisoma.

"taharifa"
"apa"
"iliusu"
"wenda"
Endelea kutupatia updates.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba nimeelewa hoja yako ,uandishi wako una matege mengi Sana.Kuhusu kufelishwa haiwezi kukihukumu chuo kwamba kimesababisha kifo,hilo kama ni tatizo laweza kushughulikiwa kusaidia wengine lakini huwezi kulitumia kama sababu ya kifo.Sababu ya kifo Ni lile tendo lililomtoa uhai ama suicide,manslaughter ama murder.
Binadam wote ni sawa mbele za mungu ,na ana haki sawa,msilete mzaa ,tunataka kujua trigger ya kifo chake , kwamba tz mtu afe na kufukiwa hata Kama kifo chake kina shida big no ,wenda alizulika uko Mwanza but why tusijue kifo chake ilihali ingekua ni kiongozi v8 zingekua zinaandamana

Binadam wote ni sawa chin ya jua
 
Ujumbe mzito sema uwasilishaji was ovyo...
Ni hivi unaweza kurejea kusoma post yako na kuifanyia maboresho ili iwe na maana...
Kama kweli unapenda taarifa yako ifanyiwe kazi iweke vizuri na uweke hints muhimu kama jina lake, registration number, jinsia yake, n.k
 
Kifo hiki kinatatanisha vipi?
Mfano uyu inasemekana alikua mwanafunzi, why alikua mwanza wakati vyuo havijafungwa?

Pili nini akutwe mwili chumbani kwake umearibika, kwamba Mwanza alikua anaishi peke yake maana mpaka kwenda Mwanza wenda alikua na ndugu,na hajafia Gest ,
 
Inaonekana una taarifa za kutosha juu ya kifo cha huyo mwanafunzi. Sasa nikuombe uende kituo chochote cha polisi ukatoe maekezo yako ili kusaidia uchunguzi. Humu JF tena kwa aina yako ya uandishi, ufuatiliaji utakuwa mgumu ama utachelewa sn.
 
Duuh...! Huo mwandiko,kama unakimbizwa mkuu. Unaandika kama unarudi rivas. Halafu hapo ukute na wewe ni msomi
 
Mfano uyu inasemekana alikua mwanafunzi, why alikua mwanza wakati vyuo havijafungwa?

Pili nini akutwe mwili chumbani kwake umearibika, kwamba Mwanza alikua anaishi peke yake maana mpaka kwenda Mwanza wenda alikua na ndugu,na hajafia Gest ,
Unaweza ukawa na point, ila wadhani Chuo ndio kimemsafirisha hadi Mwanza? Ukipata taarifa zaidi ulete hapa, na hata kama itakuwa ya kukisafisha chuo chake, kwani umekihukumu chuo kabla hujajua habari nzima.
 
Pole sana, ila wakati mwingine kuna baadhi ya wanafunzi wa kike hutengeza mazingira ya kutaka kupendelewa kimasomo hasa mwalimu anapokuwa ni kijana; na hii siyo Tanzania tu bali sehemu nyungu za dunia. Nina mifano ya Tanzania na marekani ambako niliwahi kufundisha kwa muda mrefu tangu ningali kijana.

Wakati nikiwa nafundisha UDSM, kuna wanafunzi walifeli somo langu kwa kufuata standard zilizokuwepo kihalali kabisa, na ikabidi wajiandae kufanye mtihani wa sup; kulikuwa na wavulana watatu na msichana mmoja. Kipindi cha mwezi May yule msichana akawa "ananisumbua" sana kutaka nimhakikishie kuwa atanasuliwa na sup. Ni Jambo ambalo sikulipendelea siyo tu kimaadili, bali ilionyesha kuwa huyu binti akiwa na madaraka anaweza kuyatumiaje. Fortunately, baada ya kumshikisha adabu ya masomo alijiandaa na mtihani na baadaye aka clear, though marginally.

The same ilinitokea wakati nafundisha Marekani; nilikuwa nafundisha somo fulani la sophomore, na kwa vile nilikuwa strict, nilikuwa nashangaa kuwa siku chache klabla ya mtihani watoto wa kike walikuwa wananifuata ofisisni wakiwa wamevaa vigauni vifupi huku nusu maziwa nje pamoja na manukato makali sana kuulizia maswali mbalimbali kama yatakuwa kwenye mtihani. Nguo hizo walikuwa wanazivalia kwenye magari yao wanapotaka kuja ofisini kwangu, baada ya hapo wanarudi na kubadilisha mavazi kabla ya kwenda madarasa mengine. Jibu langu lilikuwa fupi sana kuwa sijaju mtihani utakuwaje kwa voile sijatulia kuchagua maswali.
Sio wote wanatengeneza hayo mazingira na nyie wahadhiri mkiona mtu anajileta huwa Wana kwepa maana kweli chuoni mbona ma slay queen wakutaka mtelezo huwa wapo, Kuna wale huwa hawataki mazoea na wahadhiri lazima wakusumbue bila sababu Lengo mtu ulainike tu na ukiwa hueleweki anakutesa na kukuletea usumbufu usio na msingi.
Pia chuoni wanaotoa papa kufaulishwa huwa ni wengi tu wengine hupewa had maswali kabisa, ni shida mwanafunzi ukiwa mgumu jamii huunga mkono na ku support ma lecturer waovu.
Pia Kuna ma lecturer wanaotakaga pia wanaume, hivi vitu vipo na vinaathiri wanawake wasiotaka kujipendekeza kupata favor, anayetaka kugongwa apewe free it's okay maana ni watu wazima wameamua.
Tena Kuna wahadhiri wengine huwaandikia wanafunzi had kazi zao hapa Tanzania, msisingizie eti mwanafunzi anajipeleka mwenyewe
 
Hivi wale ma lecturer wa miaka ile wenye tabia ya kukomaliana kisa anamtaka mwanamke au ana visa vyake tu vya kibwege bado wapo?hawa jamaa ukiwafuatilia sana utagundua sio wajanja,kwahiyo unakuta hata kutongoza kwao ni shida,kwahiyo kupewa hiyo kazi kwake inakuwa kama ni silaha,sasa unakuta kijana hana silaha wala nini mdomo wake tu watoto wanampenda,yeye inaanza kumuuma anaanza kukomaa naye...
 
Rushwa ya ngono,

Rushwa ya ngono,

Bongo ndio maana nawashukuru wazazi wangu kunipeleka kusoma nje.

Elimu isiyo na rushwa ni form four na six tu bongo.

R.I.P kwake poleni kwa majonzi.
Unajuaje hatujapewa taarifa za jinsia
 
Unaweza ukawa na point, ila wadhani Chuo ndio kimemsafirisha hadi Mwanza? Ukipata taarifa zaidi ulete hapa, na hata kama itakuwa ya kukisafisha chuo chake, kwani umekihukumu chuo kabla hujajua habari nzima.

Unaweza ukawa na point, ila wadhani Chuo ndio kimemsafirisha hadi Mwanza? Ukipata taarifa zaidi ulete hapa, na hata kama itakuwa ya kukisafisha chuo chake, kwani umekihukumu chuo kabla hujajua habari nzima.
Mtu anaweza gongwa na gari apo ulipo , ila chanzo chake kikawa km mia nyuma , au ikawa chanzo ni apo aligongewa gari, siko kuchafua mtu ,ilihali Kuna tatizo bila kujali linamgusa nani lazima liwe wazi,

Kauli za kuchafuana azijaanza leo na zimekua kivuli Cha watu kujificha watendapo, maovu,ata SABAYA wakati yupo clouds ,alitoa kauli Kama izi zenye mlengo wakuonesha anachukiwa KWA kutenda haki,
 
Binadam wote ni sawa mbele za mungu ,na ana haki sawa,msilete mzaa ,tunataka kujua trigger ya kifo chake , kwamba tz mtu afe na kufukiwa hata Kama kifo chake kina shida big no ,wenda alizulika uko Mwanza but why tusijue kifo chake ilihali ingekua ni kiongozi v8 zingekua zinaandamana

Binadam wote ni sawa chin ya jua
Ukinisoma vizuri utaelewa kwamba sijasema kifo kisichunguzwe,nimesema chuo kisishutumiwe kumuua huyo mpendwa wetu bali sababu hasa ya kifo itafutwe bila kujeopardize chuo.
 
Wakuu Salam kwenu,

Naenda kwenye mada moja kwa moja

UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,

Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL hospital , hasa iliusu intern na wanafunzi Zi hasa wafanyiao hapo, ok wenda ulikua ni uongo au ukweli maana hatukupata mrejesho,.

Sasa ndugu zangu ipo taarifa imenifikia, kwamba Kuna kijana alikua anaendelea na masomo mwaka wa tano , ila ipo idara ilikua KAZI yake ni kumkandamiza kila akiinua kichwa wanakula kichwa, kama msemo ulivyo katika vyuo vya Afrika hasa tz,

Kwa taarifa nilizopowe zinadai sio kwamba marehem hakuwa vizuri kichwani but ni hulka ya idara husika ambazo hazizidi mbili ambazo zimekua na Tabia ya hovyo na si kila mmoja kwenye idara bali ni wachache wao ambao wenda wanaharibu idara, kwa makusudi ya malengo yao au la.

Zaidi ni kwamba KWA mjibu wa taharifa zilizofika, huyu mwanafunzi ,marehem hamjui baba Wala mama hivyo wenda waliokua wamsaport ni ndugu au jamaa ,so alitoweka mazingira ya chuon na kwenda Mwanza Kama wiki mbili na nusu zilizopita ,mwisho ulikutwa mwili ulishaharibika vibaya , ila vyanzo ambavyo vimejaribu wasiliana nami au tuma ujumbe ,vinasema mwanzo wa matatizo yake yameanza punde tu baada ya kufailishwa kwenye idara moja aliokua anarotate Kama sehem yake ya masomo Mara KWA mara

Niwaombeni serikali chunguza chanzo Cha kifo chake , Kama ni ukuda wa idara aliyokuwepo ijulikane , na Kama ni uzembe wa viongozi wa chuo basi taratibu zifuatwe , na Kama kajiziru mwenyewe na hakua mwanafunzi ijulikane thanks ,more up to date as I got the information,
Mi sijaelewa
 
Naomba ujibu haya maswali,
1. Kwa nini unahisi huyu mwanafunzi alikuwa anakwamishwa?
2. Je unaweza kuelezea Kwa undani na Kwa kadili unavofaham ni nini kilikuwa chanzo ama sababu ya kusafiri kutoka Mbeya Hadi Mwanaza.
3. Mwili wake ulikutwa maeneo gani?
4. Je uko tayari kujitokeza na kuisaidia polisi kile kidogo unachokifaham, ili uchunguzi wa awali uanzie hapo?
 
Back
Top Bottom