Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyema jikita kwenye tatizo sio fagilia Mambo madogo madogo ,kwa kuwa umeandika hapa basi ''tahalifa wenda'' zitawafikia wahusika.
Wanalazimisha vipi ,Tuna graduates wengi hakuweza pata vyuo bongo wakaenda china ,india na kuludi ila wanafanya vizuri, tatizo sio fan tatizo shule za kibongo sio elim bali ni vita ,Tatizo mnalazimisha fani
Ile kutopata sifa za kujiunga na chuo Tz kwenye fani za afya ni sababu pekee ya kumfanya mhusika aangalie fani anayoiweza, wengi wenu mnalazimisha fani hadi mwaiba mitihaniWanalazimisha vipi ,Tuna graduates wengi hakuweza pata vyuo bongo wakaenda china ,india na kuludi ila wanafanya vizuri, tatizo sio fan tatizo shule za kibongo sio elim bali ni vita ,
Kwamba mwanafunzi aliefika mwaka wa tano amelazimisha fani ,je alifikaje pale ,acheni Mambo mepesi kwenye maisha ya watu ,vipi angekua , mwanao,nduguyo,mwanao ungesema upuuzi huu
Inasemekana alikutwa chumbani kwake mwili umearibika, na kaishazikwa ni Kama wiki mbili na nusu zilizopitaAmekutwa Mwanza kafariki wapi? Au ndio ile Maiti iliookotwa karibia na kamanga mawiki yaliopita?
Bro sijaelewa kabisa,mara kukandamiza, mara kuinua kichwa; nahisi hata wewe ukisoma hutaelewa vizuri kama mimi!Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja KWA moja
UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya,na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,
Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL hospital , hasa iliusu intern na wanafunzi Zi hasa wafanyiao hapo, ok wenda ulikua ni uongo au ukweli maana hatukupata mrejesho,.
Sasa ndugu zangu ipo taarifa imenifikia, kwamba Kuna kijana alikua anaendelea na masomo mwaka wa tano , ila ipo idara ilikua KAZI yake ni kumkandamiza kila akiinua kichwa wanakula kichwa , Kama msemo ulivyo katika vyuo vya Afrika hasa tz,
KWA tahalifa nilizopewa sio kwamba marehem hakuwa vizuri kichwani but ni hulka ya idara husika ambazo hazizidi mbili ambazo zimekua na Tabia ya hovyo na si kila mmoja kwenye idara bali ni wachache wao ambao wenda wanaharibu idara, kwa makusudi ya malengo yao au la
Zaidi ni kwamba KWA mjibu wa taharifa zilizofika, huyu mwanafunzi ,marehem hamjui baba Wala mama hivyo wenda waliokua wamsaport ni ndugu au jamaa ,so alitoweka mazingira ya chuon na kwenda Mwanza Kama wiki mbili na nusu zilizopita ,mwisho ulikutwa mwili ulishaharibika vibaya , ila vyanzo ambavyo vimejaribu wasiliana nami au tuma ujumbe ,vinasema mwanzo wa matatizo yake yameanza punde tu baada ya kufailishwa kwenye idara moja aliokua anarotate Kama sehem yake ya masomo Mara KWA mara
Niwaombeni serikali chunguza chanzo Cha kifo chake , Kama ni ukuda wa idara aliyokuwepo ijulikane , na Kama ni uzembe wa viongozi wa chuo basi taratibu zifuatwe , na Kama kajiziru mwenyewe na hakua mwanafunzi ijulikane thanks ,more up to date as I got the information,
Usishabikie vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako , mwanafunzi aliefika mwaka wa tano medicine mfano bongo sio kwamba ni mbulula kichwani big no alipitaje nyuma ambako ni kigumIle kutopata sifa za kujiunga na chuo Tz kwenye fani za afya ni sababu pekee ya kumfanya mhusika aangalie fani anayoiweza, wengi wenu mnalazimisha fani hadi mwaiba mitihani
Kalazimisha ndo maana alipobanwa kacheua, kwanini iwe yeye tu...Usishabikie vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako , mwanafunzi aliefika mwaka wa tano medicine mfano bongo sio kwamba ni mbulula kichwani big no alipitaje nyuma ambako ni kigum
MkuuBro sijaelewa kabisa,mara kukandamiza, mara kuinua kichwa; nahisi hata wewe ukisoma hutaelewa vizuri kama mimi!
Tunataka majibu ya kiuchunguzi sio unaleta blabla apa,Kalazimisha ndo maana alipobanwa kacheua, kwanini iwe yeye tu...
Sasa kajiua huko wakachunguze nini, yaani ushindwe soma ujiue kesi wapewe wengine khaaaMkuu
Tunataka majibu ya kiuchunguzi sio unaleta blabla apa,
Duh! Tatizo unamwandiko mbaya. Wengine wanapata shida kukuelewa unachomaanisha.Well said mkuu, but nafuatilia and by the way sio siku nyingi naenda Mbeya ,why tumpoteze Dactari kwa ujinga tu this blood will up to them ,hii hakubaliki ,mfano hao doctors wanaowafanyia watz hivi je walipata first class KWA under graduate zao ,Kama kweli tumempoteza doctor aliepitia mazingira magum just KWA mafala machache, never give up I will fight direct or indirect
Mkuu samahani sana ungetulia ili uandike vyema japo tupo kwenye majonzi ya kumpoteza huyo mpendwa wetu.
Hizi ni hasira tu za leo. Kesho zitakuwa zimepoa. Utaishia kusema tumwachie MunguWell said mkuu, but nafuatilia and by the way sio siku nyingi naenda Mbeya ,why tumpoteze Dactari kwa ujinga tu this blood will up to them ,hii hakubaliki ,mfano hao doctors wanaowafanyia watz hivi je walipata first class KWA under graduate zao ,Kama kweli tumempoteza doctor aliepitia mazingira magum just KWA mafala machache, never give up I will fight direct or indirect
Haya mambo ya kufungua account ili mchafue watu yatakuja kuwarudia siku moja. Kumbuka kuna karma. Mlalamikaji wa mwaka juzi Mleta amani alifungua akaunti akamwaga upupu na kukimbia. Hakuja kutoa mrejesho kama usemavyo. Halafu ana style ya uandishi kama wako.Wakuu Salam kwenu,
Naenda kwenye mada moja KWA moja
UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya,na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital,
Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL hospital , hasa iliusu intern na wanafunzi Zi hasa wafanyiao hapo, ok wenda ulikua ni uongo au ukweli maana hatukupata mrejesho,.
Sasa ndugu zangu ipo taarifa imenifikia, kwamba Kuna kijana alikua anaendelea na masomo mwaka wa tano , ila ipo idara ilikua KAZI yake ni kumkandamiza kila akiinua kichwa wanakula kichwa , Kama msemo ulivyo katika vyuo vya Afrika hasa tz,
KWA tahalifa nilizopewa sio kwamba marehem hakuwa vizuri kichwani but ni hulka ya idara husika ambazo hazizidi mbili ambazo zimekua na Tabia ya hovyo na si kila mmoja kwenye idara bali ni wachache wao ambao wenda wanaharibu idara, kwa makusudi ya malengo yao au la
Zaidi ni kwamba KWA mjibu wa taharifa zilizofika, huyu mwanafunzi ,marehem hamjui baba Wala mama hivyo wenda waliokua wamsaport ni ndugu au jamaa ,so alitoweka mazingira ya chuon na kwenda Mwanza Kama wiki mbili na nusu zilizopita ,mwisho ulikutwa mwili ulishaharibika vibaya , ila vyanzo ambavyo vimejaribu wasiliana nami au tuma ujumbe ,vinasema mwanzo wa matatizo yake yameanza punde tu baada ya kufailishwa kwenye idara moja aliokua anarotate Kama sehem yake ya masomo Mara KWA mara
Niwaombeni serikali chunguza chanzo Cha kifo chake , Kama ni ukuda wa idara aliyokuwepo ijulikane , na Kama ni uzembe wa viongozi wa chuo basi taratibu zifuatwe , na Kama kajiziru mwenyewe na hakua mwanafunzi ijulikane thanks ,more up to date as I got the information,
eti anasoma chuo kikuu aibu.Poleni sana sana, stress za maisha imekua ni janga jipya kwa Taifa na Ulimwengu. Mungu amrehemu.
Jitahidi kujifunza kuandika pia
hahaaaaa! mla kaliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umemkosoa mwenzio, na wewe hapa jua: ^Kiingereza^ inaanza kwa herufi kubwa, sawa!???
Rushwa ya ngono imekuwa vazi ambalo weakest students wanalifanya kuwa blanket la kuficha udhaifu wao.Rushwa ya ngono,
Rushwa ya ngono,
Bongo ndio maana nawashukuru wazazi wangu kunipeleka kusoma nje.
Elimu isiyo na rushwa ni form four na six tu bongo.
R.I.P kwake poleni kwa majonzi.
Kwani acc imefunguliwa lini ,na je hakuna sababu ya kufuatilia kifo Cha kutatanisha , tuliza mmzuka ,kuomba fuatilia kifo nini kisababishi ni kuchafua watu ,we wa wapi ,na umezaliwa Afrika Kama ata imani ya uruma hunaHaya mambo ya kufungua account ili mchafue watu yatakuja kuwarudia siku moja. Mlalamikaji wa mwaka juzi Mleta amani alifungua akaunti akamwaga upupu na kukimbia. Hakuja kutoa mrejesho kama usemavyo. Halafu ana style ya uandishi kama wako.
Wanafunzi wa Medicine siku hizi mkienda Medical School mnaamini mna haki ya kupewa degree hata kama hustahili. Halafu nani kakwambia ukiwa mwanafunzi wa Chuo KIFO kinakuogopa? Ina maana kila mwanafunzi akifa, kunapaswa kufanywe uchunguzi wa kuonewa na walimu?
PAMOJA NA UANDISHI HUU UTASHANGAA NAWE NI DAKTARI AU MWANAFUNZI, SI MTATUUA JAMANI.