Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

Amekutwa Mwanza kafariki wapi? Au ndio ile Maiti iliookotwa karibia na kamanga mawiki yaliopita?
 
Tatizo mnalazimisha fani
Wanalazimisha vipi ,Tuna graduates wengi hakuweza pata vyuo bongo wakaenda china ,india na kuludi ila wanafanya vizuri, tatizo sio fan tatizo shule za kibongo sio elim bali ni vita ,

Kwamba mwanafunzi aliefika mwaka wa tano amelazimisha fani ,je alifikaje pale ,acheni Mambo mepesi kwenye maisha ya watu ,vipi angekua , mwanao,nduguyo,mwanao ungesema upuuzi huu
 
Ile kutopata sifa za kujiunga na chuo Tz kwenye fani za afya ni sababu pekee ya kumfanya mhusika aangalie fani anayoiweza, wengi wenu mnalazimisha fani hadi mwaiba mitihani
 
Amekutwa Mwanza kafariki wapi? Au ndio ile Maiti iliookotwa karibia na kamanga mawiki yaliopita?
Inasemekana alikutwa chumbani kwake mwili umearibika, na kaishazikwa ni Kama wiki mbili na nusu zilizopita
 
Bro sijaelewa kabisa,mara kukandamiza, mara kuinua kichwa; nahisi hata wewe ukisoma hutaelewa vizuri kama mimi!
 
Ile kutopata sifa za kujiunga na chuo Tz kwenye fani za afya ni sababu pekee ya kumfanya mhusika aangalie fani anayoiweza, wengi wenu mnalazimisha fani hadi mwaiba mitihani
Usishabikie vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako , mwanafunzi aliefika mwaka wa tano medicine mfano bongo sio kwamba ni mbulula kichwani big no alipitaje nyuma ambako ni kigum
 
Usishabikie vitu ambavyo viko juu ya uwezo wako , mwanafunzi aliefika mwaka wa tano medicine mfano bongo sio kwamba ni mbulula kichwani big no alipitaje nyuma ambako ni kigum
Kalazimisha ndo maana alipobanwa kacheua, kwanini iwe yeye tu...
 
Kama na wewe uliyeleta thread ni mwanafunzi mwenzake basi na wewe unafaa kuliwa kichwa hahahahahahahaa.uandishi gani huo???

Lakini tabia ya kufelisha mwanafunzi mwishoni siyo nzuri.tafuta kumsaidia mwanafunzi na siyo kumfelisha. Wivu hausaidii kitu.
 
Duh! Tatizo unamwandiko mbaya. Wengine wanapata shida kukuelewa unachomaanisha.
 
Mkuu samahani sana ungetulia ili uandike vyema japo tupo kwenye majonzi ya kumpoteza huyo mpendwa wetu.
Hizi ni hasira tu za leo. Kesho zitakuwa zimepoa. Utaishia kusema tumwachie Mungu
 
Haya mambo ya kufungua account ili mchafue watu yatakuja kuwarudia siku moja. Kumbuka kuna karma. Mlalamikaji wa mwaka juzi Mleta amani alifungua akaunti akamwaga upupu na kukimbia. Hakuja kutoa mrejesho kama usemavyo. Halafu ana style ya uandishi kama wako.

Wanafunzi wa Medicine siku hizi mkienda Medical School mnaamini mna haki ya kupewa degree hata kama hustahili. Unaona darasa lina watu 100 halafu watu watano wameshikwa, wengine 95 wamefaulu, halafu hao watano badala ya kufanyia kazi mapungufu yao wanatafuta mchawi, wakati wanajua they are weak. Hizo rushwa za ngono mnawapa hadi external examiners wanaokuwa kwenye panels au mnawapa madaktari wote kwenye panels?

Halafu nani kakwambia ukiwa mwanafunzi wa Chuo KIFO kinakuogopa? Ina maana kila mwanafunzi akifa, kunapaswa kufanywe uchunguzi wa kuonewa na walimu?

PAMOJA NA UANDISHI HUU UTASHANGAA NAWE NI DAKTARI AU MWANAFUNZI, SI MTATUUA JAMANI.
 
Poleni kwa wafiwa!

Taarifa yako haijakamilika unaweza kuweka wazi ni idara gani hizi mbili?

Pia jinsia yake
 
Rushwa ya ngono,

Rushwa ya ngono,

Bongo ndio maana nawashukuru wazazi wangu kunipeleka kusoma nje.

Elimu isiyo na rushwa ni form four na six tu bongo.

R.I.P kwake poleni kwa majonzi.
Rushwa ya ngono imekuwa vazi ambalo weakest students wanalifanya kuwa blanket la kuficha udhaifu wao.
 
Kwani acc imefunguliwa lini ,na je hakuna sababu ya kufuatilia kifo Cha kutatanisha , tuliza mmzuka ,kuomba fuatilia kifo nini kisababishi ni kuchafua watu ,we wa wapi ,na umezaliwa Afrika Kama ata imani ya uruma huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…