Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

Nafikiri hukusoma post yangu vizuri; mimi sikusema kuwa wanafunzi wote wote wanafanya hivyo, ila nilisema kuna baadhi ya wanafunzi wa kike hufanya hivyo. Vile vile post hiyo imeonyeasha kuwa baadhi ya waalimu kama mimi tunavyowahandle; siyo kila mwalimu anataka masihara hayo! Na sisi pia ni wazazi ama tutakuwa wazazi wa watoto wa kike, na hatungependa watoto wetu hao watendewe hivyo.
 
We una uliza nini , Kama polis si waende chuoni , kwanza kujiridhisha Kama kweli Kuna mwanafunzi kafariki , na hapo wanaweza pata mtandao mzima ,maana lazima ana marafiki aliokua anasoma nao , na wenda Ndo waliowezesha mpaka kupata ujumbe , Sasa apa Kuna shida gani Kama mtu anataka information za uyu kijana ,mbona ni Jambo jepesi


Lakini pia taarifa zilizopo ni kwamba alianza pata msongo wa mawazo kabla KWA kutokana na kutofanya vizuri katika moja ya idara aliyokuwepo , na badae toweka Mbeya Bila kuaga marafiki zake mpaka taarifa za msiba zilipo fika ,
 
Walimu wa vyuo wanajiona Miungu watu, ila dawa ni kusahihisha kwa panel km vile kidato cha nne na sita.
 
Mkuu samahani sana ungetulia ili uandike vyema japo tupo kwenye majonzi ya kumpoteza huyo mpendwa wetu.
Kuandika nako ni fani aisee jimesoma sijaelewa nikaamua nishuke chini kuona comments za wadau kama wao wameelewa, kumbe kama mimi tu
 
Recture?
Hujasoma nje wewe unatulisha matango pori nenda zako
 
Kiswahili kazi, Kiingereza kazi!
 
Sehemu nyingi za vyuo, walimu wanaharibu sana maisha ya watu kwa sifa za kijinga tu, aonekane yeye ndio yeye..yaani yeye mwalimu ndio muamuzi wa maisha ya mtu. Sasa wengine wanashindwa kupokea wanaishia kujiua au kuacha kabisa masomo na kupigwa stress..hawa walimu wa dizaini hii lazima watafutiwe dawa
 
Rushwa ya ngono,

Rushwa ya ngono,

Bongo ndio maana nawashukuru wazazi wangu kunipeleka kusoma nje.

Elimu isiyo na rushwa ni form four na six tu bongo.

R.I.P kwake poleni kwa majonzi.
Uko sawaa kabsa aliyewap u mungu MTU waalimu wa vyuo sijui aliwaza nini ? Mimi huwa naamini matokeo ya kidato cha NNE na cha sita pekeee ...ila hizi GPA za vyuo MTU akiwa anajisifuuu kuwa Niko na GPA kaliii huwa namwangaliaaaa afu namwacha tu

Grading ya vyuo huwa imejaa makanjanja mengi mnooo na ndicho kigenzo wanatumia kumwajiri MTU kuwa mwalimu kwa kuangalia GPA ya chuo pekee.

Ningeshauri tuje na mfumo tofauti kabisa wa utungaji mitihani na kuwa grade wanafunzi kuliko kumwachia MTU mmoja ambaye anaweza Fanya chochote kukufelisha pindi ukiwa tofauti na yeye

Hili la kumwachia mwalimu mmoja awe ndo kila kitu ndo tunapata wahitimu bora ambao ni fake na wahitimu fake ambao ni bora .
Mwisho .mfumo wa sekondari ndo utumike kutahini wanafunzi sio huu wa vyuo ambapo mwl mvivu anaweza fundisha topic moja kati ya arobaini na kutunga mtihan kwa topic hiyohiyo moja wanafunzi wakapata As zisizo na uharisia ndo maana tunapat wahitimu wasio competent
 

Kamanda, umesoma mpaka la ngapi?
 
Dogo mimi brother wako sijui kiingereza ila hiyo sentensi ya mwisho naona umechemka..."more up to date..." Hii ilibidi uandike "more updates..." kwa mujibu wa mwalimu wangu Ras Simba!

Bora yako....wengine wamegraduate vyuo hapa nchini hawajui kuongea wala kuandika vizuri kiingereza....lugha ya taifa pia inawashinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi wewe ni msoma wa UDSM kweli..

Uandishi gani huo hueleweki yani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale MZRH wanabana mno aisee,sometimes wanakomoa.
Wana roho ngumu mno,hawana huruma hata kidogo ...kuna siku nimeona mzazi ameenda kuongea na Mwalimu yaani dah.
Kuna madogo Ni smart kichwani ila tu system ya pale ipo tough mno.

Japo wengine ni wazembe.
 
Hivi wewe ni msoma wa UDSM kweli..

Uandishi gani huo hueleweki yani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa ujinga aliekwambia Dunian chuo pekee Udsm nani , pita tangulia mbele Kama waona kilichoandikwa huwelewi, nani kakwambia jf yupo shindanisha miandiko nani, au laana ya ukoo ndo inakusumbua,

Kuna watu wamepoteza ndugu yao ,kijana mdogo tu hatujui kesho angekua nani, then unakuja na hoja ya muandiko , nilisema ninafuatialia hili Jambo na bado na nitafika Mbeya japo na Mbeya upo ushirikiano napata japo sijafika tokana na majukum Yangu binafsi, ila nitafika,

Sasa wewe unakuja na vitu vya ajabu Kama code hukuelewa ulichangia ili iweje? that's Msukuma anawatukana kwamba tuna wasomi hamna kitu, hasa nyie mjionao wasomi, usomi wakusaidia nini Kama huwezi hata code ndogo wenza unganisha, umesoma ila hata tengeneza ajira za vijana 30 huwezi, unatuna tu, sie wenzio hatuko ulipo, jifunze kua na adabu bila kujali itakusaidia maishani ,

Nikikwambia twende nionyeshe kesh mil 100 , account HAINA ,na kwnza nimenda mbali hata m15 kash wenda hauna, ila unabaki shabikia muandiko, wakati wenda ulipo waishi nyumba ya kupanga , Gari ya mkopo, alafu eti muandiko, MSUKUMA mbunge wa la saba ila nje ya ubunge ni tajiri ni mfano tu maana wapo wengi ,we upo na muandiko, tafuteni pesa usipokua na pesa washia kua na roho mbaya
 
Sio lazma utumie English ili ueleweke
 
Unafanya kazi hapo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…