Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

Duh
 
Pole sana.
 
Pole sana.
 
Pole sana bro...nawaza maumivu yake hapa sipati picha
 
Ugonjwa uliokua unamsumbua mtt hataji wala hosp
Ila namba ya simu kwa ajili ya mchango ameitoa fasta [emoji3][emoji3][emoji3]
Namba nimetoa kuna mdau ameiomba wala sijaomba michango mwanangu amefariki unahisi hizo pesa zitanisaidia nini, mtoto hakuumwa alistuka saa sita usiku akawa anastuka na joto jingi sana/mwishoni alikuwa anatapika damu nyeusi, ripoti ya kifo hawajaona tatizo wamedai, hospital ilo siwezi sema mimi naogopa
 
Na mimi nakuunga mkono mkuu
Kuna vitu amevichanganya pale juu, nikamuuliza hajajibu.
Unaweza ukaja msibani picha za marehemu zipo pia sijaja kubishana umeuliza nini njoo msibani tabata chama uniulize
 
Pole mkuu, i can Imagine the pain and guilty, Pain umempoteza mtoto, guilty umempoteza ukiwa helpless hujui ufanye nini kupigania maisha yake...

Again pole, jisamehe, itachukua muda lakini utasahau pia, RIP Angel...
 
Sijaja kubishana mkuu namba unayo nipigie niulize nikujibu mi nimelia kuhusu mwanangu
 
Ila baada ya kuambiwa network mbovu ungeangalia uwwzekano wa kumpeleka kwingine, saa nane hadi saa nne asubuhi kweli?!
Daah, ila pole ndugu, pole sana.., daah

Ila bila kutaja jina la hiyo hospitali, unaweza kusababisha wengine ambao pengine wangeepushwa na haya madhila, wakaendelea kukutana nayo, taja hiyo hospitali haraka! Maana hiwezi kuacha kuhudumia mgonjwa kisa network, huo ni utaahira!!
 
Pole sana, ila kwa Tanzania yetu ya leo usipoitaja hiyo hospitali huu uzi utakuwa hauna maana, hii sio kuwachongea wenye hospitali bali itasaidia kuepusha wengine wasije kuwa wahanga wa kilichokutokea...
Naunga hoja...unaogapa nini sasa
 
Taja jina la hospital mkuu...
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] polee sanaa.
RIP mtoto.
 
Pole sana,
Ushauri wangu :kanoe panga vizuriiiiii nenda kachinje mmoja kati ya walioweko hospitali siku ilen basi roho yako itatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…