Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

mkuu, we hujui tu ....pengine ni kwa sababu unatumia cash,

watu wa wanaotumia bima huwa wanadharauliwa sana

unaweza ukaenda hsp na netwk ipo lkn ukaambiwa hamna...utakaa hapo mpk mwenyewe uondoke
ni basi tu hatuna pa kusemea
Mbona sisi hatujawahi pata hizo kadhia na kadi twazitumia
Bochi
Massana
TMJ
Rabininsia
 
Pole sana Jack Grealish,
Ila Sasa ungetaja hiyo hospital kungekuwa na shida gani?
Uzembe umefanyika na JF kuna viongozi wa kitaifa pia, Wangeweza kuwajibishwa waliohusika.
 

Polee sana grealish!! Network ya nini Hakuna???
 
mkuu, we hujui tu ....pengine ni kwa sababu unatumia cash,

watu wa wanaotumia bima huwa wanadharauliwa sana

unaweza ukaenda hsp na netwk ipo lkn ukaambiwa hamna...utakaa hapo mpk mwenyewe uondoke
ni basi tu hatuna pa kusemea
mkuu mimi pia natumia bima ya afya, ila hospitali zote za jirani wananijua. Wewe nikiona dalili ya kudharauliwa na vitoto vidogo sina uvumilivu.

nilimripoti mpumbavu mmoja alinijibu tu "leo watu wa bima hatutibu, mtandao hakuna", nami nikamjibu "leo unanitibu, mtandao utaupata tu, subiri dakika 3 zijazo uone".

Nikaongea na mkurugenzi mkuu wa NHIF moja kwa moja, zilipigwa simu dakika 20, alikuja kunitibu mganga mkuu mwenyewe, kwa samahani na pole nyingi sana.
 
Mwenyezi Mungu akutie faraja katika hili ndugu..... Najua kwa nini umeandika uzi huu..... Kumbuka sote sisi ni mavumbi na kila mmoja ana wakati wake.
 
Daah ila hapana! Masaa saba unamtazama chalii tu anavyopambania uhai wake mbele yako!
Nahisi ungefanya kitu nomata what.
 
mkuu, we hujui tu ....pengine ni kwa sababu unatumia cash,

watu wa wanaotumia bima huwa wanadharauliwa sana

unaweza ukaenda hsp na netwk ipo lkn ukaambiwa hamna...utakaa hapo mpk mwenyewe uondoke
ni basi tu hatuna pa kusemea
Duh!! Hii mbaya sana kwa kweli!!
 
Nani alizembea hapo?
 
Pole sana kwa kuondekewa na mwanao.
 
Mwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi.


Sikuwa na hela

πŸ‘€πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸ•ΈοΈ
 
Sasa hivi ni kuomba sana usiugue maana hizo Hospital ni changamoto mnooo,

Nilienda hospital ya Amana rushwa inayotembea kwenye ile hospital hadi nilistaajabu, sasa imagine mtu hana pesa ya kutoa hiyo rushwa ndio anakufa kama mfugo,

Kingine wazazi mjitahidi sana kukata Bima ya Afya kwa Watoto wenu ni msaada mkubwa sana na ukiona sehemu huielewi basi unaenda pengine Bima si unayo bhana.

Mola amlaze mahala pema Mtoto.
 
Mkuu issue ya mfumo mbona sio issue watu wanatibiwa kama ni dharura then mfumo ukirudi wanaendelea na mambo mengine huku mgonjwa ashakua stable??
 
Pole sana mimi niwe muwazi tu.
Nilipeleka mtu Lugalo mjamzito chupa imepasuka tayari SAA 2 usiku. Kupima njia wanasema bado haijafunguka. Subirini tu. Kunywa tangawizi sana na chai ya moto wapi. Wamekuja kumchana SAA 4 asubuhi. Kitoto kimebugia maji ya kutosha. Alikaa siku 1 akaaga dunia. Nikagundua kama sio familia ya askari kuwa makini sana unapoenda kujifungulia pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…