SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Mwenzako anataka rambirambiUshataja jina la hospital mkuu
Hamasisha watu ni 50400 tu ila watu bado uelewa mdogo, utasikia ni gharamaSasa hivi ni kuomba sana usiugue maana hizo Hospital ni changamoto mnooo,
Nilienda hospital ya Amana rushwa inayotembea kwenye ile hospital hadi nilistaajabu, sasa imagine mtu hana pesa ya kutoa hiyo rushwa ndio anakufa kama mfugo,
Kingine wazazi mjitahidi sana kukata Bima ya Afya kwa Watoto wenu ni msaada mkubwa sana na ukiona sehemu huielewi basi unaenda pengine Bima si unayo bhana.
Mola amlaze mahala pema Mtoto.
Hayo ndo mambo sasa yanayotakiwa yafanywe na wananchi.mkuu mimi pia natumia bima ya afya, ila hospitali zote za jirani wananijua. Wewe nikiona dalili ya kudharauliwa na vitoto vidogo sina uvumilivu.
nilimripoti mpumbavu mmoja alinijibu tu "leo watu wa bima hatutibu, mtandao hakuna", nami nikamjibu "leo unanitibu, mtandao utaupata tu, subiri dakika 3 zijazo uone".
Nikaongea na mkurugenzi mkuu wa NHIF moja kwa moja, zilipigwa simu dakika 20, alikuja kunitibu mganga mkuu mwenyewe, kwa samahani na pole nyingi sana.
Yaan baada ya kusoma nikapata majonzi, hasira na maswali mengi. Ila hili swali moja tu jepesi hataki kujibu na ndo swali la MSINGI. JINA LA HOSPITAL..Mwenzako anataka rambirambi
Hyu jamaa labda story katunga tu,maana ata hospitali kagoma kuitaja amebak analalama tuBinafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa.... Naona kama unataka kutupiga kamba hivi?
1. Hutuambii mtoto alikuwa anaumwa nini..
2. Hutuambii kaanza kuumwa lini na imekuaje mpaka umauti ukamfika.
Kingine katika vitu ambavyo hospitali huwa wako makini navyo ni watoto na wajawazito.... Ni ngumu sana mtoto kukaa masaa 7 bila kuhudumiwa kama kweli alikuwa amezidiwa..
Hebu leta vithibitisho vya wewe kuhudhuria hospitali, tutumie hata picha ya risiti ya consultation tuu..
Niko radhi kukujibu yote ila sio kuandika hapa njoo inbox au namba yangu 0699574224Yaan baada ya kusoma nikapata majonzi, hasira na maswali mengi. Ila hili swali moja tu jepesi hataki kujibu na ndo swali la MSINGI. JINA LA HOSPITAL..
Hataki kujibu.
Hapo ndipo watu wanamwekea ????.
POLE SANA APUMZIKE KWA AMANI MTOTO WETUMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Ni wachache sana wanaweza kuliona hili.Binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa.... Naona kama unataka kutupiga kamba hivi?
1. Hutuambii mtoto alikuwa anaumwa nini..
2. Hutuambii kaanza kuumwa lini na imekuaje mpaka umauti ukamfika.
Kingine katika vitu ambavyo hospitali huwa wako makini navyo ni watoto na wajawazito.... Ni ngumu sana mtoto kukaa masaa 7 bila kuhudumiwa kama kweli alikuwa amezidiwa..
Hebu leta vithibitisho vya wewe kuhudhuria hospitali, tutumie hata picha ya risiti ya consultation tuu..
Naomba niulize nikitaja hospital itamrudisha mwanangu? Namba sihitaji mchango nahitaji msaada wa kiroho au mwana saikolojia nahisi roho yangu inatoka sijatumiwa na mtu hata 100 wala sijaomba pesa ya mtu punguza ujuaji kwenye masuala ya watuNi wachache sana wanaweza kuliona hili.
Jambo linalonishangaza amekataa kata kata kutaja hosipitali.
Naona pia amejiongeza...anaweka namba ya simu kimya kimya.
Anaachia waliozidiwa na huruma watume wenyewe.
Huyu mfiwa pole zake lakini umakini.
Mfiwa huyo...ambaye hata mtoto hajazikwa!!Naomba niulize nikitaja hospital itamrudisha mwanangu? Namba sihitaji mchango nahitaji msaada wa kiroho au mwana saikolojia nahisi roho yangu inatoka sijatumiwa na mtu hata 100 wala sijaomba pesa ya mtu punguza ujuaji kwenye masuala ya watu
Uko msibani ndugu, unajua mtoto hajazikwa au kazikwa suala la namba limekuuma sana sio ni hela ndio unawazaMfiwa huyo...ambaye hata mtoto hajazikwa!!
Tunapoteza ndoto zingali changa. Kama Taifa kuna mahali tulikosea, tukiamini tulipiga hatua. Ni wakati sahihi wa kurudi nyuma na kuanza upya.Pole sana, hii sio mara ya kwanza kwa matukio kama haya!.
Nilidhani matukio kama haya hutokea wakati wa mgomo wa madaktari...
Hali hii mpaka lini?.
RIP mwanetu.
P