Kwanza pole sana kwa kumpoteza mtoto, Ni hosptali gani hiyo usiifiche kuitaja vinginevyo nasisi au wengine tusijekutwa na madhila hayo, ITAJE tuitambue mwana jamiiMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
MWANA JAMII : Tafadhali tuambie nduguzo tuijue hiyo HOSPITAL unajua inaumiza sana, NI HOSPTALI GANIKwanza pole sana kwa kumpoteza mtoto, Ni hosptali gani hiyo usiifiche kuitaja vinginevyo nasisi au wengine tusijekutwa na madhila hayo, ITAJE tuitambue mwana jamii
JINA TU NDUGUZO TUITAMBUE HIYO HOSPTALI ILIYO GHARIMU UHAI WA NDUGUYETU, pole sana TuambieMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
mkuu hyo picha ni wewe au
na wewe kwani kutaja jina unaona nini ? au hii story umekopi sehemuHOSPITAL IPO DAR ES SALAAM , WILAYA YA ILALA NI YA SERIKALI....IPO BARABARANI KAMA UNAENDA KARUME....MTOTO ALIKUWA NA JOTO TU NA ALIFIKA MZIMA KABISA LAKINI YALIYOTOKE NIMESHTAKI KWA MUNGU ATAAMUA YEYE NDIO ANAJUA NAPITIA YAPI MANESI NA DOKTA SIWAJUI KWA JINA ILA SURA ZAO SITAZISAHAU NA OFISI YAO MILELE...BAADAE WANASEMA MTOTO KAFARIKI DAMU IMEGANDA KWENYE MAPAFU SIJUI....MTOTO ALICHELEWA KUPEWA HUDUMA AKAANZA KUTAPIKA DAMU NYEUSI....INAUMA INAUMIZA NAOMBA MNISAIDIE MSAADA WA KIROHO AU WANASAIKOLOJIA NAWEZA KUFA KWA AYA MAUMIVU JAMANI KUSHUHUDIA KIFO CHA MATESO CHA MWANANGU
Hakika kuzika mtoto kunaumiza sijajua kama kuna maumivu yanapita hayaPole sana,,,,,kuna mama alihamishiwa hosp nyingine baada ya mwanae kubadilika rangi alipozaliwa, walipelekwa hosp kwa gari la emergency ila walipofika emergency hosp walihamishiwa,wakakuta jamaa wapo busy kujaza detail mara nenda kalipie kwanza hata kumpokea mtoto hawajampokea, wakaenda kulipa kurud eti itabid muende Kwenye clinic ya kina mama na mtoto yule mama huku analia washa alianzishe haha pale pale emergency mbona Manesi walijaa fasta wakamchukua mtoto nakwenda kumhudumia,,,baadhi ya wauguzi wanajisahau mno majukumu yao na kupelekea vifo kwauzembe!!!Sasa kumhudumia mtoto kwanza waliona sijui watatoroka bila kulipa hatar!
ASANTE MAMAPole my son,
1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.
Inauma ...inauma nikama moyo unavuja damu natafuta angalau mtu aushike usivuje aniambe pole tu iniponye maumivu haya ya milele, mtoto mdogo alieonja maisha alifariki kwa mateso makali mbele yangu ni kitu ambacho kili wakati kinajirudia napoteza hamu ya aya maisha kabisa...nimemzika mwanangu kwa uzembe wa watu wa afyaDaaaa, what a sympathise case is this.....umemaliza kwa huruma sana, pole sana najaribu kuvaa hivo viatu, it's very tight....mebak narudia kusoma maneno yako ya mwisho ......very sory indeed. Daa
Usikate tamaa tafadhali, yapo maisha mengine baada ya haya ya Angel mdogo wetu, kama utahitaji msaada wa bure wa kuongea na mwanasaikolojia na rafiki yangu yupo hapo Dar es salaam akupe maneno machache ya kukujenga tafadhali usiache kunijulisha atakupigia simu na kukufariji bure kabisa kupitia mimi, nimeguswa sana.Inauma ...inauma nikama moyo unavuja damu natafuta angalau mtu aushike usivuje aniambe pole tu iniponye maumivu haya ya milele, mtoto mdogo alieonja maisha alifariki kwa mateso makali mbele yangu ni kitu ambacho kili wakati kinajirudia napoteza hamu ya aya maisha kabisa...nimemzika mwanangu kwa uzembe wa watu wa afya
POLE SANAMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Pole sana mkuu, MUNGU akutue nguvu ktk kipindi hiki kigumuMwanangu aliumwa usiku ghafla tukalazimika kwenda hospitali ya karibu wakasema tumpeleke hospital ya ++++, kufika pale saa 8 usiku wanasema network hakuna hadi irudi wamekuja kumhudumia asubuhi saa 4 mtoto kashalegea anatapika damu nyeusi. Tumemlaza kitandani wakaniagiza mavitu mengi kumbe mtoto amekata roho kwa uzembe wa madaktari.
Naumia sana, mwanangu kachomwa chomwa kateseka kafariki kwenye maumivu makali sana kwa uzembe. Nisamehe mwanangu na ulale salama kama ningekuwa na pesa usingefariki maana masikini nimeganda na wewe masaa 7 hospitali bila msaada.
Kwanini wasingemhudumia mtoto jamani naumia sana mimi jamani
Mkuu mimi ni baba sio mamaIle ukifika hospital wanakuuliza Bima au Cash? Ukiwaambia bima...unaona kabisa morale wao unashuka....ila ukiwaambia cash...khaaa sijui mzuka unatokea wapi.....ndo kitu inanifanya mpaka sahv nina watoto wanne na sijawah kata bima ya afya hata siku moja.....walishanishawishi watu kufanya hvo...nikasema hapana....ntachofanya ni kuwa na saving tu...akaunt siwez maliza hela aisee....kwangu binafsi bima haina faida...kwa wengine itakuwa nayo....na ile dharau ile pia siipendi.
Aidha Angel ametangulia, mama unasema umasikini ndo umechukua uhai wa mwanao, ni wakat tu umefika, jipe moyo endelea kupambana, Angel mwingine utampata japo hatakuwa na ladha sawa na huyu aliyetangulia.
Wakat mwingine pia, tusibaki kusema tu Mungu ameamua, basi, mbona shetan hatumzungumzii kwamba yeye ni chanzo cha uharibifu mkubwa hapa duniani, kwamba kila umauti basi Mungu kasababisha.....
Mfiwa nakupa siri, one day kabla hujamfikisha mgonjwa hospital, sema mane o machache na Mungu wako unayemuamini, mwambie huko napoelekea naomba ufanye maandalizi mwenyewe Mungu ila wanadamu wabaki kutekeleza maagizo yako na mapenzi yako tu.
Mwambie, kama kuna daktar au mazingira yyte yameandaliwa ya umauti juu ya mwanangu au yyte yule uliyenaye, roho ya mauti ifutike kwa jina la huyo unayemuamini.
Kuna mazingira yanaandaliwa na shetani kwa masaa hayo tu ili kukamilisha umauti wa ndugu yako kwa wakat huo, kuwa makini.
One day mke wangu mjamzito, nikamuuliza mamy...unategemea kujifungua hospital gan....nilikuwa namuuliza makusudi ili niiweke hyo hospital na mazingira yote salama...akanitajia dady ni hospital flan tu nasikia haina shida...nikamwambia sawa.
Akaniuliza Dady kwann umeniuliza, nikamjibu, nilitaka nifahamu ktk ulimwengu wa kimwili pameandaliwa wapi wew kujifungua, lkn mm naupa ulimwengu wa Kiroho kufanya hyo kazi.
Alifurah sana akasema Dady asante na ubarikiwe.
Bhas nikaingia kazin, kiroho...kuanzia geti la hospital, mkunga/wakunga watakayemuattend, martenity ward, vifaa kitanda na kila kitu...kilichofungwa pale kifunguliwe.
Baada ya muda kukaribia mm sielew naendelea na mambo yangu kazin, wife kanitumia msg...Dady bhana nimeahirisha kujifungua ile hospital nilikuambia, nikatabasamu mwenyewe ofisin, nikasema asante Mungu kwa kazi yako nzuri.
Nikamuuliza kwann mamy? Akanijibu tu simple kuwa sielew hata kwann sipataki tena pale, nikamendelea kumuuliza tena, alternative ni hospital ipi sasa, bila kumkumbusha lolote juu ya nilichomwambia awali.
Akaniambia ni hospital flan hv, nikasema haya sasa wacha niendelee kupambana...nikaiweka tena rohoni..
Mpaka siku anapata uchungu saa sita usiku mwaka huo, nikawasha gari nikampeleka tumefika akapimwa, nikaambiwa baba wew pumzika, mama yupo sawa sanaa....nikaondoka kwa amani zangu.
Narudi asbh saa 0630 naambiwa baba umechelewa sana chukua mke na mwanao alishajifungua muda sana na wapo salama.
Nikamtolea Mungu sadaka nikasema...thanks.
Mtoto mwingine ikawa the same, though nesi mbaya akaandaliwa na vita ikawa kubwa, japo vita hyo sikuwepo nyumban that day, nikaipokea kwa njia ya ndoto huko nilipokuwa, nikapambana usiku huo...mtoto kazaliwa salama
Ni vyema kujikabidhi kwa Mungu coz, huko hospital pia kuna alot of amsatan agents na ni madaktari bingwa kabisa, wanatumika kwa kujua au kutokujua.
Mungu awabariki polen, ngekuwepo Dar ngehudhuria huo msiba, sema nipo nje ya nchi.