Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kabisa.Mungu atusaidie wanaum woteUanaume ni kubeba majukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Mungu atusaidie wanaum woteUanaume ni kubeba majukumu
Huo ni ukweli usiothubutu kusemwa. Wanaume wengi ukiwaona wanapokutana sehemu yoyote iwe bus stand, au bus stop, kwenye daladala, sokoni, barabarani, makanisani, misikitini, makazini na popote ambapo ni lazma ukutane na watu, utaona kama wanaumoja wanasalimiana kama wanajuana. Kisha kila mtu anaendelea na lililompeleka pale.Safari ya uanaume ni ngumu ndo maana wengi hurudisha kadi na kuanza kupumuliwa