Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Ni vizuri serikali ikakaa kimya kuliko kuendelea kujipaka vinyesi hii ni taarifa ya kipuuzi na ya kijinga kuwahi kutolewaView attachment 2612434
20230506_204937.jpg
 
Ni Mimi tu naona au ni kweli mabinti wachuo wanatawanya mbususu sana siku hizi,na hawaogopi wa kumpa ilimradi awe na umate mate,huko nyumbani wakiagwa wanaambiwaga katafteni Hela Nini?Mimi sio mpiga ramli ila niamini manzi kafa akiwa anakitembeza.
sio siku hizi, ni siku zote, wanafunzi wakiwa chuo wengi huwa wamefunguliwa mlango kutokea form six ambako bado walikuwa wamebanwa, na wengi ndio hupatia ukimwi hapo au kuharibikiwa vizazi hapo. wanakuwa huru na uhuru hawajazoea kuuhandle. sasa unafikiri kwa ushungi ule kweli baba wa marehemu si atakuwa anaamini binti kaenda alikoenda na bikra yake?
 
Kuna kichwa kinaenda kuliwa sio mdah,Na itoshe tu kusema kwa mara ya kwanza nimeona taarifa ya ajabu sana kutoka Kwa jeshi la polisi sijui ndio wameagizwa na tamisemi yaani wangetulia tu.
 
Kuna yule mwingine aliwahi kuwa boss wa polisi, anatokea Dodomya, anavaaga miwani kubwa kama mwalimu mkuu, hapo zamani alikuwaga utingo wa malori, wanamuita sijui Chui-sawene, alifumaniwa singida miaka ya nyuma na mke wa askari, wakataka kumla '0713' iwe fundisho kwa wanaojiita waheshimiwa kumbe wadharauliwa.

Basi bwa'mkubwa akaingia mfukoni akapasuka milion6 kumpoza askari.

Taarifa za ndaaaani kabisa zinasema jamaa huopoa na kulala na madem mpaka watano, 'fivesome' kwa usiku mmoja.


R.I.P kwa bint wa Udom, usingepeleka papuchi kwa naibu waziri ungekuwa hai leo
Niliisikiaga hii habari ya chui 😁
 
Kumbe uongozi wa udom wanafunzi wake wakienda kwa wapenzi wao huwa wanajua.Ningependa kusikia taarifa kutoka kwa wazazi wa huyu binti kuhusu kifo chake.Ila pia wazazi wanaweza kusema ukweli au wanaweza kusema uongo kwa kuogopa kudhurika
 
sio siku hizi, ni siku zote, wanafunzi wakiwa chuo wengi huwa wamefunguliwa mlango kutokea form six ambako bado walikuwa wamebanwa, na wengi ndio hupatia ukimwi hapo au kuharibikiwa vizazi hapo. wanakuwa huru na uhuru hawajazoea kuuhandle. sasa unafikiri kwa ushungi ule kweli baba wa marehemu si atakuwa anaamini binti kaenda alikoenda na bikra yake?
AIBU KABISAH YAANI
DAH![emoji18]
 
Chuichawene alifumaniwa singida bhana miaka hii ya nyuma ila sio ya mbali sana. Askari wakataka "kumla ndogo" akang'aka😅. Akampa 6M askari, soja akachukua akapita hivi, akapiga chini yule mwanamke
Na huyu bwege anakoelekea na huo uzinzi wake kuna siku watamfumua kabaang kweli... Majuzi hapa alikoswakoswa tena mitaa ya Mbweni
 
Dunia Ina mambo ya hovyo kweli kweli.
Umaskini ni shida Sana aisee.
Mwanafunzi unaacha masomo unaenda Moshi .serious? Masomo yamekuwa rahisi Sana kiasi kwamba mwanafunzi anaamua kwenda nje ya chuo bila ya taarifa!!

Lakini pia chuo au wadau wengine wanaweza kupata taarifa kupitia kwa mwenyeji wake huko Moshi na pia kupitia namba yake ya simu.

Kama Kuna uovu uliyotendeka tusifiche.Leo ni mtoto wa mwenzako kapatwa na umauti kesho yaweza kuwa mwanao au mtoto wa jirani yako
 
Back
Top Bottom