Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Mabinti hawa hawa wanaoenda na wakati? Hawawezi kusikiaTuwahimize mabinti zetu wakasome, mengine tuyaache.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabinti hawa hawa wanaoenda na wakati? Hawawezi kusikiaTuwahimize mabinti zetu wakasome, mengine tuyaache.....
Yaani Naibu Waziri atumie gari ya Wizara/serikali Kwa mambo binafsi/uzinzi then useme ni mambo binafsi? Wewe ni mzima kweli??Kama taifa na mwananchi mmoja mmoja kuna mambo mengi sana ya kufanya zaidi ya hizi drama ambazo hazina maana yoyote..iwe kweli alikua na mahusiano na huyo waziri bado inabaki kuwa inshu binafsi.
Hahahahahahaha ukiwa chuo unakua huna hela. Vile vitoto vya shule vinakulwa na wakulungwa wenye mzigo.Wakati upo chuo ulikuwa unasumbua mabinti za watu. Sasa hivi waliopo chuo ni watoto wetu.
Malipo ni hapa hapa duniani shemeji yangu.
Nani sasa?Huyo waziri aliyepata ajali anaonewa sana, mtu analeta habari wakati anaonekana kabisa yuko biased.
Alikua na gari binafsi.Yaani Naibu Waziri atumie gari ya Wizara/serikali Kwa mambo binafsi/uzinzi then useme ni mambo binafsi? Wewe ni mzima kweli??
Boss muda si bado. Lile jimbo ni langu wewe subiri.Ubunge Mbozi hugombei tena?
Acha ubishi nduguAlikua na gari binafsi.
Alikua na gari binafsi.
...Wazazi wanakusomesheni,Enyi vijana sikilizeniii [emoji445][emoji445][emoji445]
Mnapokuwa masomoniii acheni mchezo wa mapenzi [emoji445][emoji445][emoji445]
Mnawapa uchungu ooooooh wazazi weeenuu [emoji445][emoji447][emoji1623][emoji450][emoji448][emoji449][emoji446]🪗[emoji441]
...Alikuwa Soloist National Mbaraka Mwinshehe 1971/72Mkuu huyu alikuwa marijani au mbaraka?
Si wanataka iPhone 14...Wazazi wanakusomesheni,
Kwa gharama nyingi Sana.
Matokeo ni kufukuzwa Shule.
Mapenzi na Masomo Vyote vyapotea....
Mkuu tufanyeje? Ni mwendo wa kuitikia tu wakubwa washasema..Sarcasm!Acha ubishi ndugu
UDOM?Kuna ka mtandao hapo kanakula pesa kuhakikisha zee flani status yake haichafuliwi, kuna vitisho, rushwa na ubabe hapo.
Kwanini umefikiria hivi mkuuHuyo demu kafia kwenye gar la naibu wazir watu wanaficja kitu Gani? Na hao wazaz au ndugu zako kwann hawajajitokeza kwenye hili jambo.
Hahahahahaha sasa ndio nimekuelewaMkuu tufanyeje? Ni mwendo wa kuitikia tu wakubwa washasema..Sarcasm!
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....
Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.View attachment 2610308View attachment 2610312
Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?
Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.
Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.
UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?
UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?
Pia unaweza kusoma hapa