Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Kama taifa na mwananchi mmoja mmoja kuna mambo mengi sana ya kufanya zaidi ya hizi drama ambazo hazina maana yoyote..iwe kweli alikua na mahusiano na huyo waziri bado inabaki kuwa inshu binafsi.
Yaani Naibu Waziri atumie gari ya Wizara/serikali Kwa mambo binafsi/uzinzi then useme ni mambo binafsi? Wewe ni mzima kweli??
 
Wakati upo chuo ulikuwa unasumbua mabinti za watu. Sasa hivi waliopo chuo ni watoto wetu.
Malipo ni hapa hapa duniani shemeji yangu.
Hahahahahahaha ukiwa chuo unakua huna hela. Vile vitoto vya shule vinakulwa na wakulungwa wenye mzigo.

Nilikua napiga discussion moja matata ya Psychology halafu yule demu saa tatu jamaa anakuja na Mark 11 GX 100 anaondoka nae mbwa yule
 
Enyi vijana sikilizeniii [emoji445][emoji445][emoji445]
Mnapokuwa masomoniii acheni mchezo wa mapenzi [emoji445][emoji445][emoji445]
Mnawapa uchungu ooooooh wazazi weeenuu [emoji445][emoji447][emoji1623][emoji450][emoji448][emoji449][emoji446]🪗[emoji441]
...Wazazi wanakusomesheni,
Kwa gharama nyingi Sana.
Matokeo ni kufukuzwa Shule.
Mapenzi na Masomo Vyote vyapotea....
 
Kama chuo wametoa taarifa ya uongo wewe anu nyie mkatoe ya ukweli kama ni kaka ake kawambie alikiwa kwa kaka ake na sio mpenzi wake


Afu nyie hapo udom mpo zaid ya 8000 chuo kianze kuwafatilia kweli? Nyie sii watoto mkiona mnapenda mashine mtakobolewa tu know way

Angetulia chuoni yasingemkuta hayo
 
Wakimaliza UDOM ndio wanakuaga hivi
IMG-20230505-WA0055.jpg
 
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....

Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.View attachment 2610308View attachment 2610312

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

Pia unaweza kusoma hapa


Pole sana kwa wafiwa.
 
Back
Top Bottom