Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Dah bado sijapata info kutoka kwaogogoki4102 au Da Mange wamesemaje kuhusu kifo cha huyo Binti Nusra mwanafunzi wa UDOM au bado hawajasema kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah bado sijapata info kutoka kwaogogoki4102 au Da Mange wamesemaje kuhusu kifo cha huyo Binti Nusra mwanafunzi wa UDOM au bado hawajasema kitu?
Hii imekaa vizuri yaani wazembe anakuwa marehemu siyoDaaa ingependeza kwenye ajali ya V8 wangedanja wote!!
Wamezingua Sana UDOM, ilikuwa haina haja ya kuandika hivyo. Happ wamerefusha mambo itabidi mpenzi wake atafutwe.Ila Hii Nchi, Kwa hiyo hapo UDOM pamoja nakua na watu mahiri wa Taaluma.
Wanaamua nao kutuambia, Alikwenda Kwa Mpenzi wakez Mara akapigwa Kisha akafa 🤣🤣🤣🤣.
Oyaaa mkipata nafasi ya kulala mbele huko mambeleee laleni mbele tu, hiii Nchi no takataka !!
Dots not well connected. 😂🤣😂🤣
Embu ziunge tena. Hofu yako nini!??😂😂
HahahahahaaaMadereva wao, mademu wanawatafutia
Wanatelekeza damu nyingi zisizo na hatia
Wake zao wanatembea na vijana bila nidhamu
kisa waume zao wako bize na dili haramu
Iphone wamuachie nani?Tuwahimize mabinti zetu wakasome, mengine tuyaache.....
Wanawake hawawezi kuolewa wote.Maisha yatabaki kua hivi hivi.mambo mengine ni ajali tu maishani.Mabinti wanapaswa wajue.
Ukiwekwa mchepuko zone.
Majanga yakikukuta utadili na familia Yako hakuna wa kukusaidia.
We ni kifaa tu Cha matumizi chenge expire date.
Jamaa ataenda kwa mke wake
Kuna mambo mengine ya kujitakia tuuWanawake hawawezi kuolewa wote.Maisha yatabaki kua hivi hivi.mambo mengine ni ajali tu maishani.
Hili sasa jangaIphone wamuachie nani?
Kwenye V8 iliyokanwa na tamisemi si tunasikia kulikuwa na mwanamke aliyefia mle....au ninyamaza?
Da Mange kasemaNA WEWE UMEJUAJE KAMA KWELI ALIKUWEMO KWENYE V8?
Da Mange kasema
Ila tatizo ni wazazi hawoneshi matendo ya ujasiri kwa watoto ambayo yanaweza kurithiwa na kuleta mambo chanyaSio kama tumekuwa, ni kwamba ndio tulivyo. Leo hii ukianzisha mjadala wenye maslahi kwa nchi, utaishia kudhihakiwa na matusi juu, wako wapi walioitwa Wazalendo? Wako wapi leo walioitwa Vibaraka wa Wazungu?? Mbona ndege zimekamatwa kweli? Dah
Ooh Andrew! Do you believe kitu inaitwa ufufuo na unyakuo?Ni murder case. Kauawa na boyfriend wake.
Hizi ripoti nyingine hazieleweki. Nadhani watu wanazidisha kutazama Kaole Sanaa Group. Oh,I am sorry. Yule mtoto alikuwa msanii).
KabisaKwa hiyo mshamba anafichiwa ushamba wake sio?
Samahani ndugu!.Hivi nyie wavamizi hamuwezi kuongea kwa lugha ya staha na heshima angalau ? Iweje unitusi ndio uonekane na wewe umejibu aisee ? Lengo lako ni nini una hamu ya kuingia kwenye ignore list ?
Samahani mkuuSasa we Choko mboni huyu umemjibu vizuri alafu Mimi umeanza kunimwagia matusi au una hamu ya kupigwa vitasa kwenye bunyero ?
Road Traffic Signal
Kaandika:
Kuna yule mwingine aliwahi kuwa boss wa polisi, anatokea Dodomya, anavaaga miwani kubwa kama mwalimu mkuu, hapo zamani alikuwaga utingo wa malori, wanamuita sijui Chui-sawene, alifumaniwa singida miaka ya nyuma na mke wa askari, wakataka kumla '0713' iwe fundisho kwa wanaojiita waheshimiwa kumbe wadharauliwa.
Basi bwa'mkubwa akaingia mfukoni akapasuka milion6 kumpoza askari.
Taarifa za ndaaaani kabisa zinasema jamaa huopoa na kulala na madem mpaka watano, 'fivesome' kwa usiku mmoja.
R.I.P kwa bint wa Udom, usingepeleka papuchi kwa naibu waziri ungekuwa hai leo
Ukamjibu nini baada ya kum-quote na Mimi umenijibu nini ulipoquote au una nyege za kugongwa nyuma ? Unanitafutia ban ya lazima si ndio ? Nakuuliza wewe shoga Mzee