Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Mwana Kondoo ameshinda tumfuate.

EBM.jpg
 
Tumekuwa kama jamii isiyokuwa na kujitambua.
Sio kama tumekuwa, ni kwamba ndio tulivyo. Leo hii ukianzisha mjadala wenye maslahi kwa nchi, utaishia kudhihakiwa na matusi juu, wako wapi walioitwa Wazalendo? Wako wapi leo walioitwa Vibaraka wa Wazungu?? Mbona ndege zimekamatwa kweli? Dah
 
Kuna yule mwingine aliwahi kuwa boss wa polisi, anatokea Dodomya, anavaaga miwani kubwa kama mwalimu mkuu, hapo zamani alikuwaga utingo wa malori, wanamuita sijui Chui-sawene, alifumaniwa singida miaka ya nyuma na mke wa askari, wakataka kumla '0713' iwe fundisho kwa wanaojiita waheshimiwa kumbe wadharauliwa.

Basi bwa'mkubwa akaingia mfukoni akapasuka milion6 kumpoza askari.

Taarifa za ndaaaani kabisa zinasema jamaa huopoa na kulala na madem mpaka watano, 'fivesome' kwa usiku mmoja.


R.I.P kwa bint wa Udom, usingepeleka papuchi kwa naibu waziri ungekuwa hai leo

Au Ndio hii ajali ya V8 ya Serekali?
 
Back
Top Bottom