Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Unaendaje. Nje. Ya mkoa wa CHUO KIKUU UNACHOSOMA ,

KISA UNAFATA MAPENZI

HII AINGII AKILINI ,,, WANATUFANYA SISI. MBUMBUMBU. WAKATI. TUMEPITA VYUONI... MHHHHHHHHH HAHAHHHHH

MBUSUSU YAKE INAONEKANA SAFIII KWELIII.

ASEEEEEE. UDOM. NI ******OPEC******* aseeeeeeee. Ya warembo wazuri. Dodoma.
 
Safi kwake. Anakula bata. Alitakiwa ata alale na 8 usiku mmoja. Maisha mafupi
Sasa we Choko mboni huyu umemjibu vizuri alafu Mimi umeanza kunimwagia matusi au una hamu ya kupigwa vitasa kwenye bunyero ?

Road Traffic Signal
Kaandika:
Kuna yule mwingine aliwahi kuwa boss wa polisi, anatokea Dodomya, anavaaga miwani kubwa kama mwalimu mkuu, hapo zamani alikuwaga utingo wa malori, wanamuita sijui Chui-sawene, alifumaniwa singida miaka ya nyuma na mke wa askari, wakataka kumla '0713' iwe fundisho kwa wanaojiita waheshimiwa kumbe wadharauliwa.

Basi bwa'mkubwa akaingia mfukoni akapasuka milion6 kumpoza askari.

Taarifa za ndaaaani kabisa zinasema jamaa huopoa na kulala na madem mpaka watano, 'fivesome' kwa usiku mmoja.

R.I.P kwa bint wa Udom, usingepeleka papuchi kwa naibu waziri ungekuwa hai leo

Ukamjibu nini baada ya kum-quote na Mimi umenijibu nini ulipoquote au una nyege za kugongwa nyuma ? Unanitafutia ban ya lazima si ndio ? Nakuuliza wewe shoga Mzee
 
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....

Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.View attachment 2610308View attachment 2610312

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

Pia unaweza kusoma hapa

Hii nchi ni ya ajabu sana ndiyo maana wanapodai haki zao Kenya kwa nguvu ya umma wanaojiita wapinzani kindaki ndaki (Yoda, Waterloo na wenzao) kwetu wanasema wanafanya vurugu.

Serikali ya namna hii ina Uhalali gani kuiwakilisha jamii ipi wapi? Kwamba ni samaki mmoja kaoza?

Hii mbona haimwachi mmoja salama?

"Hii mbona ni wazi kuwa mtuhumiwa, mabosi wake,wapambe nk wote maji ga nyanja?" -- JKN.
 
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....

Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.View attachment 2610308View attachment 2610312

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

Pia unaweza kusoma hapa

Ohooo!!! Sio poa!
 
Tunaamini akili ni kujua Log na Calculus, na kiuhalisia maprofesa wetu huko chuoni wanajua sana hayo mavitu. Ila kama utawaletea malaika tambuzi wa siri atuambie akili walizonazo majibu yataonyesha wana mafuvu ya mavi tu. Wasomi wetu wanafanya vitu vya ajabu sana huko vyuoni. Ni mwendo wa sup za kimapenzi tu.
NAKAZIA HAPA.
 
Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya....

Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu.View attachment 2610308View attachment 2610312

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

Pia unaweza kusoma hapa

Punguzeni kudanga, yakitokea haya ndio muanze kusumbua watu
 
Back
Top Bottom