Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

Umeandika kwa uchungu na hasira kwa pamoja
 
Ila Hii Nchi, Kwa hiyo hapo UDOM pamoja nakua na watu mahiri wa Taaluma.

Wanaamua nao kutuambia, Alikwenda Kwa Mpenzi wakez Mara akapigwa Kisha akafa 🀣🀣🀣🀣.




Oyaaa mkipata nafasi ya kulala mbele huko mambeleee laleni mbele tu, hiii Nchi no takataka !!
 
Wamekanusha hawahusiki na tangazo feki ila hawajakanusha kuhusu kifo
 
Kuna yule mwingine aliwahi kuwa boss wa polisi, anatokea Dodomya, anavaaga miwani kubwa kama mwalimu mkuu, hapo zamani alikuwaga utingo wa malori, wanamuita sijui Chui-sawene, alifumaniwa singida miaka ya nyuma na mke wa askari, wakataka kumla '0713' iwe fundisho kwa wanaojiita waheshimiwa kumbe wadharauliwa.

Basi bwa'mkubwa akaingia mfukoni akapasuka milion6 kumpoza askari.

Taarifa za ndaaaani kabisa zinasema jamaa huopoa na kulala na madem mpaka watano, 'fivesome' kwa usiku mmoja.


R.I.P kwa bint wa Udom, usingepeleka papuchi kwa naibu waziri ungekuwa hai leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…