Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Wanatakatisha hela hapo. Unakuta mwenye hiyo kidimbwi ni muuza madawa ya kulevya so anaandaa watu kazaa na anawapa hela halafu wananunua hivyo vyinywaji ili baadaye aje asema hela yake ni halali na inatokana na mauzo ya kidimbwi. Polisi, TRA nendeni hapo mkachunguze. Na kwa njia hiyo watu wengi sana wanatakatisha hela hapo.
Kama kutumia pesa ni kuzitakatisha bas sehemu za starehe zisingekuwepo
 
Alfu SS tusio na mbele Wal nyuma ndio tunatumia vinywaji vikali na Bei mbya Sana mfno yule tajiri ndug was mam Angu nilikljuuliza iweje tajiri huyu atumie castle lager na pesa anazo kwanin asitumie whindwoek au henikeni au Desperado atuachie ss safari lager Sasa unajikura wee mkora ndio unatumia vunywaji hvyo wkt tajiri ata Serengeti lager anabugia

Sasa mm nikiwa mbeya nilkuwa nafanya Kaz kwenye kampuni fln na kulipwa laki sita ilifikiaa maahali nikipiga zangu dili la laki mbili nabadilisha siku hyo kinywaji naanza kutumia whindwoek au henikeni Sasa unakuta nimenda bar kesho ktk laki mbili imebaki eld 45 nikaona huuu upuuz haiwezekani acha niendelew kupambana na nyagi tu huu Ni ujinga na umaskini wa kujitakia

Tajiri Hana matumiz makubwa na hell kuliko maskini akiotea pesa kidogo na ndio maana mzee wangu alikuwa Ana kamsemo kake eti mzoto uko pale pale
 
Word.

Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche

Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.

Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.

Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.

Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.

These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
Naunga mkono hoja
 
Hujawahi enda picnic ya Arusha wewe
Embu acha ushamba babu mpwayungu HV picnik Kuna nn pale mbna hknn kitu mm natokea Maeneo hayo kaloleni pale Ila Sasa HV Niko dar uwez kulinganisha kidimbwi na picnik hkn Bei za gahl za vinywahi pale ..najuwa unapromoto c ya mxee mmoja wa marangu mchaga yule
 
Word.

Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche

Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.

Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.

Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.

Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.

These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
Post moja ya kibabe sana kongole [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanatakatisha hela hapo. Unakuta mwenye hiyo kidimbwi ni muuza madawa ya kulevya so anaandaa watu kazaa na anawapa hela halafu wananunua hivyo vyinywaji ili baadaye aje asema hela yake ni halali na inatokana na mauzo ya kidimbwi. Polisi, TRA nendeni hapo mkachunguze. Na kwa njia hiyo watu wengi sana wanatakatisha hela hapo.
Mm bado nailaumu serekali kwa kutofatilia Bei hzo na kod inayolipwa na hao kina kidimbwi utakuta jamaa hawa kwa mwaka wamekadiriwa milion tano hi siyo sawaa kbsa kinywaji Cha milion moja alfu uje utuambie kod Kia's gani imeingia serekali nakuambia haitazid milion tano
 
Mara nying maeneo kama hayo yanamilikiwa na viongozi.
Hizo ni moja ya sehemu za kupiga mihela
 
Back
Top Bottom