The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Confession. . . . . .Calabresse or Sicilian
Hiki ni kile kimasai cha ndani kabisa hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confession. . . . . .Calabresse or Sicilian
Kulinda heshima ya Ufalme kama ni kweli sawa tuu.
Ambulance ilikuwa njiani inakwenda kumchukua Diana kabla ajali haijatokea. Ajali ilisababishwa na mwangaza mkali wa laser beam. Ilikuwa ni kazi ya mi 6 na mossad,waliotekeleza. Sijui nani aliyeamuru. Ilikuwepo hospitali pale karibu lakini. Diana alipelekwa hospitali nyingine. Diana alikuwa anatembea katika eneo la ajali lakini alipofika hospitali ghafla akawa mahututi.

Hakutulia kwasababu alikuwa na wanaume wengi akiwemo Daktari wa Kipakistani,ambae alimtambulisha Diana mpaka kwa wazee wake Pakistan,lakini Mwenyezimungu akamnusuru huyo daktari, familia yake ikamushauri aachane kabisa na Diana maana anayaweka maisha yake hatarini, kwahiyo wakaachana na akaendelea kuwa na Dodi Fayed mpaka yakawakuta yaliyowakuta.Kwanini useme hakuwa mtulivu?
Tupe unacho kifahamu tujifunze mkuu
hii ndio inaitwa kunya anye kuku akinya bata................, wakristo mna roho mbaya sana ila mambo yenu mnayapeleka kimya kimya
mkuu mbona mgumu kuelewa? nyie mambo yenu kimya kimyaTatizo sio uislam,tatizo ..hapo wameangalia maadili ya ya familia ya kifalme... hata hivyo wakristo hawaui watu hovyo kama nyie alshbaab mnavyoua wapita njia
money stuna na wenzio mnajidai wagumu kuamini kwakua waliofanya mauaji ni wagala wenzenu ila ingekuwa muislam ndo kafanya mngeamini fasta kwa chuki mlizokuwa nazo vifuani mwenu, mazingira mengi yanaashiria diana aliuawahabari ndio hiyo tusije hukumu watu ambao hawana hatia
Kwani waarabu sio watu? KhaaahAfe tu ye anampa puchi muarab...si bora angempa mdengereko..
Hao ndio wazungu ambao kunawatu wanawaabuduMwarabu alikua hatakiwi katika familia ya kifalme si unajua maharabu kwa tobe wakaona bora lawama kuliko fedhea wakatangulizwa mbele ya haki
Hivi best ni jambo gani Diana alitaka kulisema? Any ideaAlizinguliwa na Prince chaz sana maana alikuwa anatembea na Camilla kabla hajamuoa di, na di akaamua kutembea na aliyekuwa anamfundisha kupanda farasi - Major Hewitt, halafu akatembea tena na Dr wake mpakistani halafu tenaaa akawa na urafiki na millionaire wa kimarekani mwenye machimbo ya petrol na kote huko ilikuwa ni pressure na hasira za mumewe na malkia pia.
Ndio akaanza na dodi Al Fayed alipoonywa sana ndio akatangaza kuwa mtasikia jambo kubwa hivi karibuni ikabidi wammalize