Kifo cha Steven Kanumba Kimedororesha Tasnia ya Filamu Tanzania

Kifo cha Steven Kanumba Kimedororesha Tasnia ya Filamu Tanzania

Last edited by a moderator:
We King Excel umewasahau masista wengine warembo kwenye movie na Ma- charminglady Karucee tian miss chagga Na houseboy wao Sizinga

dah...! kumbe jf ina wasanii wakali hivi? aisee ngoja nianze kuandika script sasa! vipi jambazi kuu akiwa The Boss (huyu awe muuza madawa haswaa kwenda macao!), snowhite, Neylu, Kaunga na marejesho wawe ndo wasaidizi sasa wa the boss!

aisee kazi itakuwepo siku hiyo!

location nzima itakuwa bandari kuu ya dar, mabwepande, maccao china, dar nzima kwa ujumla...!
 
Last edited by a moderator:
wanakuwa na budget finyu hivyo kwa sababu hawaamini kama watauza sana so wanaogopa kupata hasara wanashindwa kuelewa kwamba the higher the risk the highr the profit,ukitengeneza kitu kizuri sio lazima kiangaliwe ndani ya nchi kinaweza kuangaliwa haa nje ya nchi watu wanaangalia filamu za kifilipino na za kichina.... Subtittle inafanya kazi yake,kitu kingine mtu kama mimi mara ya mwisho kununua bongo movie ilikuwa 2010 just baada ya kuona haina maboresho,ila ni mnunuaji mzuri sana wa mixtape za wasanii wa bongo flavour (hip hop) just because naridhishwa na wanachofanya wakitengeneza movie nzuri watatuinspire watu kama sisi kununua kazi zao lakini pia kutengeneza movie nzuri kunakuongezea possibility ya kuitwa nje ya nchi kufanya collabo na mtu mkubwa, so kwamgu mimi kuweka budget ndogo no excuse katika hilo.

Mkuu uzuri unatoa maelezo yenye majibu! Huwezi weka M 10 utegemee Utapata faida ya M 100. Hakuna Hiyo makitu ktk uwekezaji! Weka m500 ivi ili upate M1000.

Mimi Mkuu sijawahi ata Siku Moja kutoa Pesa yng kununua movie! Na Si tegemei kufanya hivyo mpk wafanye mabadiliko makubwa ya mapinduzi ya kimaboresho ndio wataiona Pesa yng!
 
Mwanangu Si kwamba sizifahamu kazi Zake! Ila Nafikiri Hapo nilikosa neno muafaka la kutumia ndio nikasema Mimi niko kushoto na haya mambo nikimaanisha bongo movie ni hovyo kabisa!

Nina sababu nyingi sn za kusema hivi Ingawa wengine Wengi humu wameshatoa sababu mbali mbali za kuwakosoa! Lkn km ingekua sio kuandika ni kutoa sababu tu kwa mdomo Mimi ningetoa sababu kwa muda Wa masaa 12 nikisema tu Kwanini bongo movie hazifai! Najua kuna baadhi ya wadau wanaweza sema uzalendo kwanza Mara Sijui nini! Lkn Mimi bongo movie ziko na mashida kibao sn! Wasanii tabu, elimu, story zenyewe, vifaa vya kutengenezea movie, locations za movie, Yani Sijui niseme nini niache nini?
dah.. kweli his excellency, kazi tunayo kuuinua hii tasnia!

kuna wenyeji wa bongo movie humu kama Cloud 112 na BATULI actress aka cleopatra, sijui wao wanapambanaje na mashida haya!

mkuu nataka malikia wangu miss neddy na Angelicious waingie mzigoni.. nipe credit!
 
Last edited by a moderator:
Bongo movie inabidi ibadilike katika shooting,acting na directing,haya mambo yote yapo ndani ya uwezo yao nimeiangalia siri ya mtungi nimeona vyote hivyo vinawezekana ingawaje hiyo series imekuwa directed na wazungu lakini mambo mengine ya sisi kujifunza yapo ndani uwezo wetu(hao bongo movie)
let bongo movie play their part alafu serikali na yenyewe itaplay part yao.ya kusimamia soko lakini sio wabaki kulalamika soko linawaangusha alafu wenyewe wantengeneza movie za kiwango cha chini.
 
Nimekupa oooh--King Excel

Wewe ukiwa km Leonard De Kapreo sasa Sijui nani atakua Katty W? Bilashaka dada yng miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Bongo movie inabidi ibadilike katika shooting,acting na directing,haya mambo yote yapo ndani ya uwezo yao nimeiangalia siri ya mtungi nimeona vyote hivyo vinawezekana ingawaje hiyo series imekuwa directed na wazungu lakini mambo mengine ya sisi kujifunza yapo ndani uwezo wetu(hao bongo movie)
let bongo movie play their part alafu serikali na yenyewe itaplay part yao.ya kusimamia soko lakini sio wabaki kulalamika soko linawaangusha alafu wenyewe wantengeneza movie za kiwango cha chini.

Mkuu mi naungana na Wewe kwa maelezo yako!

Lkn kabla ya yote tunapaswa kujiuliza Wamarekani walifanya nini mpk wakafanikiwa? Wahindi? Wa South Africa? Maana kwa mtazamo wangu kwa movie za SA ni Nzuri sn kuliko Nigeria kwa Africa! Sasa tunapaswa tuanzie chini kwanza! Ndio tuje huko mbele!

Alafu Wakuu Mimi nilitaka kujua undani Wa Hollywood, ni Kampuni ya mtu Au? Na Hiyo taasisi inafanya vp kazi Zake?
 
mkuu.. tukitazama kwa kina ndani ya tasnia ya bongo movie, kuna wasanii gani hasa ambao wamepata elimu ya kutosha ambayo wanaweza kuitumia kufanya market research both internal na external markets?

piracy mkuu inasababishwa na kukosa userious katika kufuatilia masuala haya kiundani, nakumbuka last year walipitisha msako karibu wilaya zote za dar es salaam na kukamata vishoka wengi sana wa filamu ndani ya dar.. sasa, kwanini hilo zoezi halikuwa endelevu?

cc.. Himidini, Mr Rocky, Chujio, Eiyer, Ntuzu, Angelicious, miss neddy, mwekundu, Mtambuzi, MziziMkavu, Lady peace, Bantu lady, Mtoto halali na hela, Karucee, Heaven on Earth, heaven on desert, LORDVILLE, Mentor, Mashaxizo, stata mzuka, mimi49,.... n.k

karibuni kwenye mdahalo huu wakuu! semeni tu lolote kuhusu bongo movie industry kwa ujumla.

mimi sina cha kuchangia kuhusu bongo movie
maana choice yangu ni indian na nigerian movies only
 
Last edited by a moderator:
mimi sina cha kuchangia kuhusu bongo movie
maana choice yangu ni indian na nigerian movies only

mamii, hebu tupe utamu wako ndani ya nigerian movies na indian huwa uko wapi?

tunaweza pia tukaiba teknolojia kutoka kwao tukaleta kwetu..
 
dah.. kweli his excellency, kazi tunayo kuuinua hii tasnia!

kuna wenyeji wa bongo movie humu kama Cloud 112 na BATULI actress aka cleopatra, sijui wao wanapambanaje na mashida haya!

mkuu nataka malikia wangu miss neddy na Angelicious waingie mzigoni.. nipe credit!

Excel unapotaja jina langu naomba usimix na la angel pleaseeeeeeee utakuwaje na malkia wawili
 
Last edited by a moderator:
Excel naomba nikuulize kwanza, swali moja tu kitoto a & b:
1]a: Hivi ni kwa nini tasnia ya filamu ilikuwa ni bora kipindi cha SK kuliko sasa?
1]b: Jee huo ubora ulikuwa kwenye filamu za kanumba tu au na nyenginezo? [if na nyenginezo, why?]
 
mamii, hebu tupe utamu wako ndani ya nigerian movies na indian huwa uko wapi?

tunaweza pia tukaiba teknolojia kutoka kwao tukaleta kwetu..

hahahahaha kuiba teknolojia ya kihindi ni ngumu sana
wahindi wananikosha na breaktime ya masongi tu
 
hahahahaha kuiba teknolojia ya kihindi ni ngumu sana
wahindi wananikosha na breaktime ya masongi tu

good.. hata sisi tuna uwezo wa kuweka nyimbo za kisukuma kwa tekno kubwa zaidi. ni sehemu pia ya kuonyesha utamaduni wetu..

umeona sasa honey..

nipe kitu kingine!
 
Kanumba alikuwa member sana katika kuigiza. Nakumbuka ile ya Dar to Lagos ilikuwa noma. R.I.P KANUMBA.

mkuu, kanumba kaacha michipuko mingi sana katika sanaa, nikimaanisha wkamba kaacha wasanii wengi sana ambao wametoka kwa id ya SK.

kwa wewe unavyoona hali halisi ndani ya tollywood, kuna kitu chochote kilichoongezwa ama kupunguzwa?
 
Back
Top Bottom