Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #101
Bora vikundi vife Mkuu Maana ndio vinaleta shida!
mkuu, unamaanisha vikundi vipi? hivi vya akina nani nani entertainments ama vikundi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora vikundi vife Mkuu Maana ndio vinaleta shida!
ukweli mtupu
Pambaf! kumbe unaitaita uje ufanye ubazazi, ngoja nisepe, ebbos mi nimechangia mada umenichupa!
...
Iloooo Bazazi lione vile!
Vijana wana vipaji ila uduni wa elimu ndio unafanya tasnia hii idorore, sababu hakuna jipya wanalotuletea.
Ni vigumu sana hadi Leo kunishawishi niamini ile tamthilia ya second chance ni maigizo na sio maisha halisi ya wale watu, kwa kuwa kila mtu kavaa uhusika vilivyo yaani hadi naogopa ki ukweli, sanaa ni tamu sana kama ikitumiwa ipasavyo
kwani jumba la dhahabu mama siri ya mtungi vyenyewe sio halisi mkuu?
tatizo ni kuvaa uhusika na uchezaji mzuri ama tatizo ni uzalishaji wa vitu under quality?
Yah maana Yangu hawaandaliwi/kujiandaa kisaikolojia kuyavaa maisha ya kitajiri na kuya manage ipasavyo, maana wengine hawajazoea kuish nyumba za kifahari, from no where anapewa script ya utajir, lazima wabugi
Sanaa kama haujui kutumia saikolojia vizuri, unafeli
mkuu hivi unadhani tatizo ni pesa?
i bet to differ...! wangapi wana pesa lakini wanajiuliza wazifanyie nini?
bongo movie imejaa wadau na wasanii ambao wana mawazo membamba mno! they dont sink and think!
waache tu wanyonywe kwa sababu na wao wananyonyana pia..
niambie movie moja ya kibongo iliyotengenezwa kwa budget ya sh m 30 na kuendelea,maana kama unabudget kubwa unaweza kuwalipa wahusika vizuri,na unaweza ukachukua wahusika wowote wale hata nje ya nchi na kumlipa vizuri,utapata director wa ukweli na mtu wa effect mzuri(editor) maana hapa kwenye effect pia tatizo na pia unaweza kutumia camera kali zaidi za hd kushoot na hata kubadilisha location nje ya nchi sio location za kila siku tulizozizoea sio lazima kwa sababu movie inachezewa bongo basi kila kitu kiwe directed na wabongo kuanzia shooting,acting ,location n.k movie kibao zinachezewa russia lakini zinakuwa directed na wamerekani n.k,s so ukiachilia uzembe wa mambo mengine kuendesha movie kwa kujuana sana(kuitana marafiki) n.k pia budget ndogo ni kikwazo.
yote unayoyasema kweli mkuu creativity mbovu kwenye kila kitu lakini watu wanakaa kambini mwezi mmoja kwa sababu budget ndogo,ahsante mkuu, unaloongea ni la kweli.. we have a budget deficity kwa bongo movies.. pia mbali na pesa, nadhani tatizo ni creativity kwa wasanii na ma-director wa bongo ni tatizo sana.
elimu inayotolewa kwenye sanaa ni ya kulipua sana kiongozi, imagine mnakaa kambini kwa mwezi mmoja kwa ajili ya maandalizi ya shooting na kweli mna shoot na edition inafanyika kwa mwezi tu.
hiyo ndio kulipua kwenyewe.. hakika soko halitokaa lifikike kirahisi..
yote unayoyasema kweli mkuu creativity mbovu kwenye kila kitu lakini watu wanakaa kambini mwezi mmoja kwa sababu budget ndogo,
mkuu hulali
ntachekwa mkuu.. hivi sasa ni saa nane mchana huku california.
okay..........
mie silali