Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ni jambo jema kwa wakati huu watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa kuomboleza msiba wa Kanumba kwa pamoja.
Tumeshaona watu wakianza kutafuta "credit" za kienyeji sana katika msiba huu kitu ambacho hakina tija.

Bavicha kwa nafasi yenu mmefanya jambo la msingi kuungana na watanzania wengine kuonyesha masikitiko yenu juu ya kifro cha Kanumba.
 
Kifo kimeumwa na wote tutaonja umauti kinachogomba ni kwa jinsi gani tutakufa na lini.Ulale pema peponi KANUMBA.
 
Sina uhakika sana kuhusu mzee Jangala kama kafariki au la........

Mkuu kama huna uhakika unawekaje hapa sasa?

unaanzisha thread bila kuwa na evidence,

kama huna uhakika hebu edit hiyo kitu Mkuu
 
Ni jambo jema kwa wakati huu watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa kuomboleza msiba wa Kanumba kwa pamoja.
Tumeshaona watu wakianza kutafuta "credit" za kienyeji sana katika msiba huu kitu ambacho hakina tija.

Bavicha kwa nafasi yenu mmefanya jambo la msingi kuungana na watanzania wengine kuonyesha masikitiko yenu juu ya kifro cha Kanumba.

Kunya anye kuku akinya bata anatafuta credit..!nyoooooooooooooooooooooo
 
nafikri tuache wafu wazike wafu wao tukianza kudadisi hapa utakuta hata wewe ulichanga mchango mkubwa kwa watu wa nje lakini wa karibu yako unajifanya huna hela hayo ni maisha mpwa
 
"Imetolewa kwa vyombo vya habari na John Heche"

Nani aliyetoa taarifa hii?
 
Kaache kakapumzike selo hako katoto mana tulishachoshwa na skendo zake kila siku

Yah fundisho anapata she was too much damn!!!!!,,,,but she is not a murder though.

Kakipona hii kesi kamatakiwa kukaa ndani at list mwaka ...iwe shundisho kwa visichana vingine to stay out of trouble.

Unajua kwa umri wake hatakiwi kuwa hata barbut she have been doing this for long time..she didnt stay out of trouble for all that time.Binti mdogo unatakiwa kukaa mbali na mazingira ambayo unaweza kupasuliwa chupa hata bila kukusudiwa n.k
My wishful thinking is for her not to get murder verdict ,even manslaughter itamzuru both shit are to heavy for her
 
jamani bongo jamani kila kitu kuiga, kwani lazima miwani meusi
 
Naomba niweke mambo sawa, Mnyika alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuwajulia hali wafiwa Jumamosi asubuhi to be exact. Na alihojiwa na vyombo vya habari akiwa kwenye magwanda yake. Lakini sijui kwa nini watu wanaona misiba ni sehemu stahiki ya kuuza sura?
 
si kweli mkuu

angalia hapa chini nini kinasababisha hiyo kitu

[h=3]Concussion Causes[/h]
A concussion can be caused by any significant blunt force trauma to the head such as a fall, a car accident, sports injury, or being struck on the head with an object.

"A fall" maana yake "mdondoko" sasa utaprove vipi uwezo wa Lulu kumshika,na au kumsukuma,ama kumbwaga,mpaka kufikia kuanguka bila balance au stability yeyote marehemu?
Wangapi wanadondoka lakini wasife? Ama Lulu ana "extraordinary" powers ambazo aliweza kuzitumia kutekeleza azma yake?
 
Kwani Marehemu Omar Kopa nae si maiti yake ilipokewa bandarini znz kwa vishindo?
Na watu walibeba jeneza kutoka home kwao mpk kwerekwe kwa miguu, na kikawaida masafa hayo ni ya kuenda kwa gari! Who was he? Nae si alikua mburudishaji tu, na alikua na vitendo viovu kwenye jamii watu wote wakielewa.
Hio ni nyota ya mtu Mungu alivomjaalia, weakness kila binaadamu anazo.
Kanumba was great, na ndo mana antajwa sn, na ataendelea kutajwa 4rever hio ndo nyota yake.
Tusimuhukumu sisi, keshafika kwa Hakimu wa haki yeye ndo ataemhukumu.
Sidhani km kuna kati yetu atependa kusemwa vibaya baada ya kifo chake.
 
Mods, hebu mu edit hii heading. Siyo vizuri kuzushia watu kifo. Mwenyewe Mzee Jangala akiiona hii heading atajisikiaje?
 
Jibu kaifunza jamii, is ok kuzini, kusema uongo ,kumkashifu Baba yako,kuwapenda wakaa uchi,aliapa hatooa na bado watu wanamlilia mtu kama huyu.
 
Tunashukuru kwa habari lakini bado tunaendelea kusubiri report kamili .
Maana da mengi yanaongelewa ...
RIP Kanumba wewe umetangulia sisi tutafatia .
Jina la bwana libarikiwe .
 
A FALL or BEING STRUCK ON THE HEAD WITH AN OBJECT, moja ya hizi sababu mbili, zilisababisha kifo cha huyu mpendwa wetu! mazingira ya kifo cha Kanumba yamenifanya niamini hivyo! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.
 
Hapo umesema kabisa, lifestyle ya hy mtoto ndio inakera sana
 
Back
Top Bottom