Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii......
Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima
kasafishwa au kahukumiwa?Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii...... Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima
Amesafishwa kivipi? Mimi naona kama vile ndio inaweza 'kumkaanga' Lulu kwa sababu sasa taarifa hii inataka ufanywe uchunguzi kwa nini hiyo concussion ilitokea:
michael Jackson alivyokufa basi Obama aliendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa na wala hakukanyaga msibani.
Laiti kwamba Michael na umaarufu wake ule angekuwa ni mtanzania basi tarehe aliyokufa kwenye kalenda zetu tungewekewa kidubwasha chekundu.
Pia tungeenda kuuaga mwili wake ktk viwanja vya ikulu.
Tusingeenda kazini mpaka tumzike.
Na mkulu wetu nadhani angelia hadharani kwa kweli.
Si kale ka best kake kwenye filamu yake ya Dar 2 lagos au?.....neno zito sana hilo.....
....wakikosekana watu wa upako itabidi akamatie yule jamaa anayeigizaga kama pastor.....nimemsahau jina
atatoka vipi?? ugonjwa uliomuua ni Brain Concussion....tafiti causes yake.....Kweli dogo kasafishwa cz hiyo hali inatokea mtu anapokuwa na hasira ubongo una shake au alipojipigiza so mie nakwambia zitatafutwa namna nyingi tu ili dogo anasuliwe kwenye msala si mtaniambia