Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii......
Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima

Kweli dogo kasafishwa cz hiyo hali inatokea mtu anapokuwa na hasira ubongo una shake au alipojipigiza so mie nakwambia zitatafutwa namna nyingi tu ili dogo anasuliwe kwenye msala si mtaniambia
 
watu wanadondoka kwenye minara ya simu hawapati hyo impate alie chini...mimi naamini lulu hana hatia kwa maamuzi yao,ila dogo wamtoe awape na wengine brain nini sijui.
 
Amesafishwa kivipi? Mimi naona kama vile ndio inaweza 'kumkaanga' Lulu kwa sababu sasa taarifa hii inataka ufanywe uchunguzi kwa nini hiyo concussion ilitokea:


Yaani statement yake ndio itamfunga huyu binti sio vinginevyo...ni tofauti kama ingeonekana kachomwa na kitu chenye ncha kali sehemu yeyote...but CONCUSSION inahusisha kishindo kwenye skull hususani kwa nyuma....kama vile mtu adondokee kichogo n.k....Yule binti hawezi kumliliki jamaa na kumbamiza kichwa (Unless the guy was comng)anyway kwa kuwa walikuwa wawili chumbani na yeye ndie shahidi aliyebaki basi ni yeye mwenyewe maelezo yake yatakayo mfunga au yatamweka huru as long as sababu ya kifo ni hiyo.
 
.....neno zito sana hilo.....

....wakikosekana watu wa upako itabidi akamatie yule jamaa anayeigizaga kama pastor.....nimemsahau jina
 
michael Jackson alivyokufa basi Obama aliendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa na wala hakukanyaga msibani.

Laiti kwamba Michael na umaarufu wake ule angekuwa ni mtanzania basi tarehe aliyokufa kwenye kalenda zetu tungewekewa kidubwasha chekundu.
Pia tungeenda kuuaga mwili wake ktk viwanja vya ikulu.
Tusingeenda kazini mpaka tumzike.
Na mkulu wetu nadhani angelia hadharani kwa kweli.

Nimeipenda observation yako. Nalazimika kuamini viongozi wetu,vyombo vyetu vya utendaji na hata vyombo vyetu vya habari havina miongozo ya utendaji kazi bali likitokea jambo linaloelekea kushika mawazo ya watu hata kama halina tija na manufaa kwa ujenzi na maendeleo ya taifa linakuwa ajenda yao kuu. Laiti kama mgomo wa madaktari na matatizo mengine mbalimbali yanayolikabili taifa hili yangepewa kipaumbele kama ilivyotokea kwa Kanumba. Samply it has been over emphasized and is absolutely irrelevant. Big shame to out leaders for acting as taskless.
 
Umesoma biblia agano jipya au la kale? Jesus dined with publicans and sinners. Love your lord with all your heart.......... and thy neighbour as you love thy self.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Lakini kwa namna uchunguzi ulivyoonyesha sasa itabidi itafutwe sababu iliyosababisha hali hiyo kutokea
 
Ukiangalia umati ulioenda msiban na idadi ya vigogo,watu maarufu,na maskin,jamaa nyota imeongezeka maradufu baada ya kifo,kazi zitazidi kuuzwa
*Najiuliza ni msanii gani tena bongo mwenye mvuto kama huu
1.bongo fleva
2.mpira wa miguu
3.maigizo
4.kikapu
5.nk
Au wanajamv mnazani kitu gani kimewavutia wengi katika msiba wa Kanumba
 
Hivi sasa kila mtu ana majonzi kutokana na kifo cha Kanumba. Ni kifo kilichomgusa kila mtu mpaka rais wa nchi. Lakini kuna wasanii wengi na waliojijengea heshima katika nchi hii waliugua na kufa bila kupata msaada wowote kutoka kwa washabiki au serikali.
Nimeamini kweli hatuko fair......
 
Kweli dogo kasafishwa cz hiyo hali inatokea mtu anapokuwa na hasira ubongo una shake au alipojipigiza so mie nakwambia zitatafutwa namna nyingi tu ili dogo anasuliwe kwenye msala si mtaniambia
atatoka vipi?? ugonjwa uliomuua ni Brain Concussion....tafiti causes yake.....
 
alilegea akaanguka? Iyo brain concussion inatokea after sudden impact to head. So something happened before impact. Maelezo yake ni ya uongo. Jela iyooo! Inamuita.
 
Kama Zitto kasema hivyo,basi nazidi kuamin jamaa anapenda sifaa(anapenda alaiki)juzi nimwembia mpiga kura wake kigoma kaskzin(nyarubanda) amepigwa na rad amekufa sijamuona akitoa rambirambi ata ya maneno,sijaona
 
Back
Top Bottom