Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Wabongo ni washamba sana, mnaishi kwa kudhania kama mgambo. Mijitu haijawahi kuona cheti cha kuzaliwa inakomaa kuwa imeona interview amesema ana 18. The same interview alisema hana boyfriend na kakutwa kwa SK usiku wa manane. Msizoee hear say kama vicheche, muwe mnajishugulisha kutafuta evidence sio kukaa tu nyuma ya keyboard. Ndo maana Lusinde alisema mnatishia kujamba ilhali mnaharisha
Hivi siku unayokuja kujua kuwa binti yako ni mjamzito ni wewe wa kulaumiwa,mtoto mwenyewe,ama nani tena...
Natamani ningekuwa hakimu, ningetoa hukumu hii,
Elizabeth Michael aka Lulu.. mahakama imekuachia huru kwa masharti urudi shule ukaendelee na elimu pia utakuwa ukipewa counselling kuhakikisha kwamba tabia yako inabadilika, na tutafatilia mwenendo wako.
Kamata Wazazi wake wote fungulia mashtaka, wazazi wa namna hii ndo wanaosababisha ongezeko la watoto mtaani, na iwe fundisho kwa wazazi wanaofanya watoto wao vitega uchumi
Huyu mzee amekurupuka sana , tena ana sisitiza kuwa mwanae ana miaka 16 ila on 17th April ndo atatimiza 17.
Yote haya ni matatizo ya kuwaachia kina mama walee watoto peke yao, mwenyewe amesema alizaa na mamake Lulu ila hawakuwahi kuishi pamoja. Kwani hata kama hawakuishi pamoja, si angekuwa namuongoza binti yake? mbona alisema Lulu alilikuwa akiwasiliana naye na kwanini hakuwa anamkanya mtoto wake?
Halafu anadai eti anataka kuonana na JK ili aweze kuongea naye ........na kama mwanae asingepata hilo tatizo lini angeeomba kuonana na JK?
Haya hayaaaa... Siiiiirii... Imefichukaaa! Eti,kwenye gazeti moja la Makorokocho!
Yule Mwigizaji wa Nigeria Ramsey Noah aliyeshiriki kwenye Filamu ya Kanumba known as Devil Kingdom anahusishwa na Kifo cha Kanumba,Kufungwa kwa Kajala na Lulu.
Ni hivi.. RAMSEY alipokuja bongo ku act movie hiyo alipata chance ya kupiga picha na Kajala..ona sasa Kajala anatumikia kifungo kwa kutakatisha fedha halali. Lulu naye alipata nafasi ya kupiga naye picha... Ona sasa yupo rock up pia.
Kanumba kaigiza naye...ona sasa amededi. Ina maana hata hao Kajala na Lulu wangeigiza naye huenda tusingekuwa nao mpaka sasa!
Je,RAMSEY tumhusishe na kitu cha tunguli?? Kazi kwenu.
Naamini kati ya watanzania wenye matatizo ya akili huyu mzee anayejiita baba yake lulu ni kiongozi wao..kifupi mzee ni chizii.
1- alikuwa wapi wakati mwanae anadhalilisha familia yake kwenye magazeti kwa matukio ya aibu kiasi wengi tuliamini hana wazazi?
2- alikuwa wapi kumuachia mwane afanye tafrija kubwa ya kutimiza miaka 18 hapo mwaka jana ilihali akijua kuwa mwanae ana miaka 16 tu?
3- alikuwa wapi kuangalia mwanae anaendesha gari la kwake mwenyewe wakati anajua huyo ni mtoto na hajatimiza umri wa miaka 18 inayomruhusu kuajiriwa na kulipwa pesa aweze kununua gari kwa pesa yake?
4- alikuwa wapi anapomwona mwanaye kwenye tv akitangaza kuwa kafikisha miaka 18 na anajenga nyumba inayokaribia kuisha huko kimara?
5- alikuwa wapi anaposikia mwanae anaenda club na analewa pombe chakari plus scandal za ngono wakati yupo firm 2-4?
Nadhani haki ya kwanza anayotakiwa kuiona inatendeka ni yeye kuhukumiwa kwa poor parenting aliyomlea mwanae kiasi cha kuishia "kufunzwa na ulimwengu"...naomba haki itendeke na ianze na huyu mzee wa kichaga asiyejua kulea kazi kulewa...what a irresponsible stipidy n poor daddy he is???
wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!