KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
Dah,hizo filmu atazigawa bure?
yaani keshapata na wazo la kutengeneza movie tayari!!!
je hawa wanaochomwa moto hawarudi kwa udongo?
yaani huyu mtu huwa namchukia tu,ila sasa naona chuki imezidi kwa matendo yake
Ila kwa taadhari huyo muigizaji Ray achunge asiingie tamaa ya ngono kama walivyofanya Michel Jackson na Bwana Kanumba kufanya watoto wadogo wapenzi wao!!!! Lazima afuate maadili ya Kitanzania ya kuheshimu utu wa watoto ili walelewe kwenye maadili mema, huo ni mchango wangu!!!!Vicent kigosi maarufu kama ray amesema atacheza filamu na jennifer pamoja na yule dogo mwingine wa kiume walioigina na kanumba katika filamu ya anko JJ ili kumuenzi kanumba. Pia ameahidi kuanza kuigiza na watoto wadogo kama alivyokuwa anafanya kanumba ili kumuenzi.
source: DW idhaa ya kiswahili.
Tatizo la kukariri biblia neno kwa neno
kufa kufaana si kufanana
hususan ile pumbaaaavuuu huwa natamani angekuwa karibu nimtie ngumi.nahisi haunizidi mimi huyu jamaa mnafki sana kazi kugeza!
Kanumba alivyotoa this is it na yeye akafanya yenye maudhui kama yaleyale na nikiangalia muvi zake nikimaliza kichwa kinauma jinsi anavyopiga makelele
Donyongijape, nielekeze nyumbani kwako nifanye mpango wa kukuibia. Maana nadhani ni haki kwa mtazamo wangu!