hivi kuzikwa maana yake ni nini?
Kama ni kuchimbiwa shimo, kuwekwa humo na kufukiwa?
Au ni pamoja na kisomo/ibada?
Kama ni swala la shimo na kufukiwa kumbe hata mbwa wetu na tunawazika?
Je wale wasiochimbia, wanachoma, je wamezika pia?
Hizi dini hizi zimewafanya binadamu wakawa hovyo kabisa!!
roho ngumu ya kutosamehe!tatizo kubwa sana katika huu msiba.....mzee ana point sio bure
Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali (kifo), na muda maluum (wa kuishi) uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka. Qur'an:6:2Ngoja ntaamia mkuu!
Pumba Express!!....uliwahi kuona alipozikwa osama bin laden?
hili hekalu litakua nooomaaa,,,eeeh?Full tires,chumba kikubwa kama cha kuishi aliye hai,full maua,hakuna vumbi,kisha mfuniko wa zege how!!!!!
Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere) waliotangulia mbele ya haki kwa kuzikwa na watu wengi zaidi,hii inaonyesha alikuwa anakubalika sana katika fani yake ya uburudishaji katika sanaa ya filamu.Mwenye ugomvi nae amsamehe na mwenye madeni huu ndio wakati wa kulipwa ili mwenzetu akapumzike kwa amani(kama kweli kuna mapumziko). Kilichobaki sasa ni kumuomba Mwenyezi Mungu amrehemu..Ameen
Nani alimzika osama?uliwahi kuona alipozikwa osama bin laden?
Msiba wa Fanuel Sedekia Gospel artist wa Arusha Je?
Hapa hatuzungumzii choices.We are talking about good and evil.Kwamba mwanadamu asiyeweza ku-distinguish between good and evil hana tofauti na mnyama.What do I mean,ni kwamba mtu anayemshabikia Kanumba simply haoni kwamba hakuwa role model katika jamii yetu,which is funny.Kanumba was evil and satanic na mtu yeyote anayemshabikia will most likely be evil.
Jamani kuna tetesi zimeenea na zinazozidi kuenea kwa kasi, eti kuwa Lulu ana mimba ya Kanumba, na eti Kanumba alitaka Lulu akaitoe lakini Lulu akagoma. Je wadau habari hizi zina ukweli wowote?