samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Huwezi kulinganisha msiba wa kanumba na Nyerere. Wewe uliona watu waliovyojipanga kuanzia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam hadi Msasani? Je, unakumbuka kuwa wakati wa msiba wa Mwalimu hata vibaka na majambazi waliweka chini zana zao za kazi? Pitia taarifa ya polisi inayohusu uhalifu uone maajabu!!! msiropoke kumhusisha Kanumba na Mwalimu ambaye alizikwahadi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakani na marais wasio na idadi!
Hicho ndo alichoandika jamaaHili halina ubishi kuwa Kanumba
kawafunika wasanii, macelebrety na
wanasiasa wetu wote (Except
Nyerere) waliotangulia mbele ya
haki kwa kuzikwa na watu wengi
zaid
nimeisikia hiyo
record inaisaidiaje familia yake? itasaidia kumfufua? umasaburi at work
Roho ya mauti ilikuwa inamtembelea.
'instincts/6senses/machale'
Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii......
Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima
Labda alioteshwa ndoto maana Tanzani tuna namna nyingi za kujua mambo yanayokuja mbele ya safari, kwa heri, short cut au kwa shari pia
na hapa Sugu akitoa Salaam za Mwisho kwa niaba ya WAPIGANAJI WOTE , WAHANGA WOTE WA WIZI WA SANAA, NA KWANIABA YA VIJANA WAPENDA HAKI NA SANAA
Huwezi kulinganisha msiba wa kanumba na Nyerere. Wewe uliona watu waliovyojipanga kuanzia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam hadi Msasani? Je, unakumbuka kuwa wakati wa msiba wa Mwalimu hata vibaka na majambazi waliweka chini zana zao za kazi? Pitia taarifa ya polisi inayohusu uhalifu uone maajabu!!! msiropoke kumhusisha Kanumba na Mwalimu ambaye alizikwahadi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakani na marais wasio na idadi!
ni bora kuwa nayo mimba, coz labda anaweza leta picha ya the great!
Jamani kufa ni kufa tu hata uzikwe na mabilioni ya watu mbele ya haki unakuwa mwenyewe. Hatuwezi kushabikia uzinzi na ulevi eti kisa ulikuwa unajulikana sana. Kifo chake hakina tofauti. na chakina Brenda fasie na witney haustone