Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

ni bora kuwa nayo mimba, coz labda anaweza leta picha ya the great!
 
Huwezi kulinganisha msiba wa kanumba na Nyerere. Wewe uliona watu waliovyojipanga kuanzia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam hadi Msasani? Je, unakumbuka kuwa wakati wa msiba wa Mwalimu hata vibaka na majambazi waliweka chini zana zao za kazi? Pitia taarifa ya polisi inayohusu uhalifu uone maajabu!!! msiropoke kumhusisha Kanumba na Mwalimu ambaye alizikwahadi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakani na marais wasio na idadi!

Unajua maana ya neno "Except"? Au umekimbilia kupost bila kusoma kilichoandikwa..
Hili halina ubishi kuwa Kanumba
kawafunika wasanii, macelebrety na
wanasiasa wetu wote (Except
Nyerere) waliotangulia mbele ya
haki kwa kuzikwa na watu wengi
zaid
Hicho ndo alichoandika jamaa
 
Kwa mujibu Wa mpiga Picha mkuu Wa marehemu kumbe kuna filamu ambayo haijatoka kanumba ameigiza amekufa kwa kusukumwa na mpenzi wake.. Kama ilivyotokea kiuhalisia.. Pia hata Ule wimbo wake unazungumzia Kifo chake.

Source. TBC habari usiku huu.
 
Roho ya mauti ilikuwa inamtembelea.
'instincts/6senses/machale'
 
Labda alioteshwa ndoto maana Tanzani tuna namna nyingi za kujua mambo yanayokuja mbele ya safari, kwa heri, short cut au kwa shari pia
 
Lulu kasafishwa kwa 100% kama taarifa ndio hii......
Nilikuwa namuonea huruma ..ila kashikashi aliyo kwisha ipata ni adhabu tosha kujitia utu uzima

mkuu
samahani kasafiswaje?Kwani nilivyoelewa hapa inabididi aeleze alimfanyia nini/alimpiga na nini?marehemu kilichopelekea ubongo kutisika au nimelewa tofauti?RIP STEVE KANUMBA
 
Labda alioteshwa ndoto maana Tanzani tuna namna nyingi za kujua mambo yanayokuja mbele ya safari, kwa heri, short cut au kwa shari pia

I wish kama angejua . . . .

Ila kuna some folks wanasema mara nyingi few minutes kabla hujafa, lazima utaelewa kuwa unakufa. Sijui kama kuna facts zozote.
 
na hapa Sugu akitoa Salaam za Mwisho kwa niaba ya WAPIGANAJI WOTE , WAHANGA WOTE WA WIZI WA SANAA, NA KWANIABA YA VIJANA WAPENDA HAKI NA SANAA

576369_244745845624028_100002658425203_470837_1239234384_n.jpg

kama kawaida ya wana hiphop!naona mkono wa kushoto wa sugu umeshika "mic"!
 
hebu muwe mnasoma thread vizuri na kuelewa kabla hamjaanza kujibu. Na kuilewa ni kwamba uwe unaelewa vyema kiswahili namnukuu "Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere)"

hapo kwenye red. rudia mara tatu uelewa halafu post a new comment.

Huwezi kulinganisha msiba wa kanumba na Nyerere. Wewe uliona watu waliovyojipanga kuanzia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam hadi Msasani? Je, unakumbuka kuwa wakati wa msiba wa Mwalimu hata vibaka na majambazi waliweka chini zana zao za kazi? Pitia taarifa ya polisi inayohusu uhalifu uone maajabu!!! msiropoke kumhusisha Kanumba na Mwalimu ambaye alizikwahadi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakani na marais wasio na idadi!
 
huyo dogo hajaguswa na hayati kanumba!hivi inaingia akili raafiki yako wa karibu amepatwa na mauti tena ya kushtukiza unapata nguvu ya kupiga picha kweli binadaama sie!usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
najiuliza pia kwa nini kanumba kazikwa dar wakati kwao ni shy? inaelekea baba yake alitaka wampeleke mwanae kule alikozaliwa.
 
ni bora kuwa nayo mimba, coz labda anaweza leta picha ya the great!

Ila huyu dogo akienda jela na akija kutoka ana opportunity ya kumake a very great Movie Star,Akitengeneza muvi yake ya kwanza itauza sana.Kwa sasa Public perception yake ni mbaya.Ni bora kwake aende jela kwa muda kama wa miaka 3 then atoke.Here Mawakili wanahitajika kucheza kweli na sheria,Pia huruma na discretion ya jaji itasaidia.
 
naona umeshamhukumu maana wewe tayari una uhakika wa kuuona ufalme wa mbinguni. Toba yarabi msamehe huyu maana hajui aandikacho.

Jamani kufa ni kufa tu hata uzikwe na mabilioni ya watu mbele ya haki unakuwa mwenyewe. Hatuwezi kushabikia uzinzi na ulevi eti kisa ulikuwa unajulikana sana. Kifo chake hakina tofauti. na chakina Brenda fasie na witney haustone
 
Yaani unawaza kimwili kama wale wanaodhani kuwa shetani ni nyoka kama sinema ya maisha ya Yesu.
Mtu amekufa subiri siku ya ufufuo uone.
Tafakari wale ambao wamekufa katika kuzama ndani ya bahari,kuungua hadi majivu,kutafunwa na simba au mamba na wale wanaouwawa katika mapigano na kufa bila kuzikwa, je hao wamefukiwa na udongo.
Kabla hujaandika uwe unatafakari,rudi tena katika mafundisho ya kipaimara inaonekana ulicarry somo huko.
Mwisho roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa,na siyo mwili utendao dhambi.
My take.uzikwe usizikwe Mungu anaangalia roho yako.
 
Back
Top Bottom