CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Kwa kawaida utamaduni haubadiliki, kwanza lazima upitie Ulayoni kisha Morani. Mleta mada anashaanga 'utamaduni' kubadilishwa ! Ndani tiles juu zege !!Hiyo ni tafsiri yako ya neno kwa neno. Tafsiri yangu ni kuwa kifo ni ukamilifu wa binadamu kwamba ni lazima kila mmoja wetu aonje kifo. Mambo ya unazikwaje na vipi ni wewe na matakwa ama utamaduni wenu.
Asante nimemuona na nimemsikia!. Kumbe na yeye anatoka "British Kingdom" hivyo anamwita mama Kanumba, dada!.
Kusema ukweli maneno ya huyu mama yamenigusa sana.
ameomba tusihukumu wala tusishadidie maneno kuwa Kanumba alisukumwa. Kwa vile mle chumbani walikuwa wawili, ameomba tuvute subra ili kusikia ni nini haswa kilichotokea.
Pia amesema yeye kama mama, anapata uchungu wa mwana anachotaka sio kumtetea mwanae bali analilia mwanae atendewe haki.
Kwa second hand news nilizosikia, she'll be cleared soon!.

andiko jenyewe alilileta nani?na wakati gani?

Alaa!kumbe ili andiko ni utamaduni tuu na wala siyo sheria?kumbe ipo siku pia na hiki kitabu chetu kitabadilishwa pia?so badala ya"ulitoka mavumbini utarudi mavumbini"litakuja andiko jipya la"ulitoka tumboni utarudi tumboni"Kwa kawaida utamaduni haubadiliki, kwanza lazima upitie Ulayoni kisha Morani. Mleta mada anashaanga 'utamaduni' kubadilishwa ! Ndani tiles juu zege !!
Mning'inio unaeleweka vizuri kwa 'utantambua'Alaa!kumbe ili andiko ni utamaduni tuu na wala siyo sheria?kumbe ipo siku pia na hiki kitabu chetu kitabadilishwa pia?so badala ya"ulitoka mavumbini utarudi mavumbini"litakuja andiko jipya la"ulitoka tumboni utarudi tumboni"
chanel live kaka ipo nchi gani?