Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

kwa kawaida, sie watu wa imani tuna amini kuwa mtu akiwa kipenzi cha watu wengi huwa anaenda peponi!, kanumba angekuwa jambazi.........! angezikwa vile
 
Asante nimemuona na nimemsikia!. Kumbe na yeye anatoka "British Kingdom" hivyo anamwita mama Kanumba, dada!.

Kusema ukweli maneno ya huyu mama yamenigusa sana.
ameomba tusihukumu wala tusishadidie maneno kuwa Kanumba alisukumwa. Kwa vile mle chumbani walikuwa wawili, ameomba tuvute subra ili kusikia ni nini haswa kilichotokea.

Pia amesema yeye kama mama, anapata uchungu wa mwana anachotaka sio kumtetea mwanae bali analilia mwanae atendewe haki.

Kwa second hand news nilizosikia, she'll be cleared soon!.
 
Hiyo ni tafsiri yako ya neno kwa neno. Tafsiri yangu ni kuwa kifo ni ukamilifu wa binadamu kwamba ni lazima kila mmoja wetu aonje kifo. Mambo ya unazikwaje na vipi ni wewe na matakwa ama utamaduni wenu.
Kwa kawaida utamaduni haubadiliki, kwanza lazima upitie Ulayoni kisha Morani. Mleta mada anashaanga 'utamaduni' kubadilishwa ! Ndani tiles juu zege !!
 
Asante nimemuona na nimemsikia!. Kumbe na yeye anatoka "British Kingdom" hivyo anamwita mama Kanumba, dada!.

Kusema ukweli maneno ya huyu mama yamenigusa sana.
ameomba tusihukumu wala tusishadidie maneno kuwa Kanumba alisukumwa. Kwa vile mle chumbani walikuwa wawili, ameomba tuvute subra ili kusikia ni nini haswa kilichotokea.

Pia amesema yeye kama mama, anapata uchungu wa mwana anachotaka sio kumtetea mwanae bali analilia mwanae atendewe haki.

Kwa second hand news nilizosikia, she'll be cleared soon!.

Akiachiwa lulu,tutaandamana!!
 
BK The home of BIG and Jay........
 
Kwa mujibu Wa mpiga Picha mkuu Wa marehemu kumbe kuna filamu ambayo haijatoka kanumba ameigiza amekufa kwa kusukumwa na mpenzi wake.. Kama ilivyotokea kiuhalisia.. Pia hata Ule wimbo wake unazungumzia Kifo chake.

Source. TBC habari usiku huu.
 
Kuna habari nasikia kuwa lulu alikuwepo msibani je ni kweli wadau
 
Mhubiri inatuambia Hakuna Mtu aliye na uwezo wa kushikilia roho yake asife,Hakuna mtu aliye na uwezo juu ya siku ya kufa.Wakati wa vita hakuna kuponyoka na uovu hauwezi kumwokoa mwovu.Mhubiri anaendelea kutuambia Maana walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote.Hawana tuzo tena hata kumbukukumbu lao limesahauliwa kabisa.Upendo wao, chuki zao na tamaa zao vyote vimetoweka pamoja nao na wala hawatashiriki chochote hapa duniani.

Zaburi nayo inatuambia Mungu anamrudisha mtu mavumbini naye binadamu hurudi mavumbini alimotoka, binadamu ni kama nyasi zinazochipua asubuhi na kuchanua na inapofika jioni hunyauka na kukauka.

Tulio hai bado tuna muda mzuri sasa na wala siyo kesho wakukata shauri la kuzifanya nafsi zetu kufa kwa mambo ya dunia na kuwa hai milele ziku roho itakapomrudia Mungu aliyeiumba.

Heri wafu wakufao katika BWANA
 
hakuwepo kutokana na sababu za kisheria na usalama wake.....
 
Asante nimemuona na nimemsikia!. Kumbe na yeye anatoka "British Kingdom" hivyo anamwita mama Kanumba, dada!.

Kusema ukweli maneno ya huyu mama yamenigusa sana.
ameomba tusihukumu wala tusishadidie maneno kuwa Kanumba alisukumwa. Kwa vile mle chumbani walikuwa wawili, ameomba tuvute subra ili kusikia ni nini haswa kilichotokea.

Pia amesema yeye kama mama, anapata uchungu wa mwana anachotaka sio kumtetea mwanae bali analilia mwanae atendewe haki.

Kwa second hand news nilizosikia, she'll be cleared soon!.

Of course she will be cleared, kwanza hata hakutakiwa kuwa ndani anyway
Kwa lugha nyepesi alikuwa wrong place at wrong time
mkuu some madhara ya pombe kali halafu utajua
au unaweza kujaribu mwenyewe maliza mzinga wa konyagi halafu ukimbie kisha ugombane namtu kama hujampa huyo mtu uyounayegombana naye murder case
 
ccm bana tumewachoka mnataka tuwakubali kwa kushiriki kwenye misiba,msiba regia walitaka kuuteka wao
 
Kwa kawaida utamaduni haubadiliki, kwanza lazima upitie Ulayoni kisha Morani. Mleta mada anashaanga 'utamaduni' kubadilishwa ! Ndani tiles juu zege !!
Alaa!kumbe ili andiko ni utamaduni tuu na wala siyo sheria?kumbe ipo siku pia na hiki kitabu chetu kitabadilishwa pia?so badala ya"ulitoka mavumbini utarudi mavumbini"litakuja andiko jipya la"ulitoka tumboni utarudi tumboni"
 
Habari hii ungeuliza kwenye thread za tetesi au jokes!
 
vipi kuhusu Fanuel Sedekia ambaye walimuaga uwanja wa mpira?
 
Alaa!kumbe ili andiko ni utamaduni tuu na wala siyo sheria?kumbe ipo siku pia na hiki kitabu chetu kitabadilishwa pia?so badala ya"ulitoka mavumbini utarudi mavumbini"litakuja andiko jipya la"ulitoka tumboni utarudi tumboni"
Mning'inio unaeleweka vizuri kwa 'utantambua'
 
Back
Top Bottom