Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mpaka hapa tunapozungumza Lulu tayari hajatendewa haki, she has been held for too long bila kifikishwa mbele ya vyombo vya sheria. Standard time ni 24 hour au 48 hours during week ends!.

Polisi wetu ni polisi utumbo utumbo na msemaji wa polisi ndio kabisa!.

Nilisisitiza tangu mwanzo kwa Lulu kutendewa haki she has one and only option "to speak nothing but the truth" and the truth will set her free!.
 
EMT, if there is any help that she needs, its a good lawyer. Not because she has a very bad case, but bongo systems she might stay in prison for 5 years to be told she doesn't have a case to answer. By that time tutakuwa tushamsahau. Isn't she schooling?
 
Reactions: EMT
Huyo jamaa alimleta na pengine ndiye alimpigia simu baada kuona anachelewa kutoka. What a coincidence,,kwamba anatoka tu ndani na huyo jamaa anapita therefore kumpa lift?

Huyo aliye mpick inawezekana ndiye

Inamaana alliitwa kama rafiki au alienda kwa mpenzi wake?? Usiku kama ule huyo msanii alimjuaje kama ni Lulu mpaka akampa lifti??? Mh haka katoto kanadanganya kama alivyodanganya kwenye mkasi tv alivyokuwa anahojiwa na Salama Jabir
 
Si yalishatoka maelezo mengine ambayo aliongelea swala la kupigiwa simu na mwanaume mwingine?
 
Napenda nichangie mama Wa kambo Ana nguvu za ajabu. Mie baba yangu alibadilishwa kabisa na kuona sisi watoto wake Wa Mke Wa ndoa ni adui yake mkubwa. Ikawa mie nilipata nafasi ya join IFM ila form za join za kafichwa ili ni nafasi ya kupata elimu bora. Siku anakuja kufa ndio naziona zile form kwenye study room yake.
Amini usiamini alikufa baada ya kuandika will yake akimkadhi kila kitu.
 
Tatizo la wasanii ni kudhani wanaweza kuchukua mwanamke anayemtak.kama a 18 yr old anamshinda akili senior bachelor
 
mi nimelelewa na mama wa kambo. Mi ni mhanga kama Kanumba. Baba yangu alishatangulia mbele za haki. Nilishasamehe yote lakini sina mawasiliano na mamaangu wa kambo. Simlaumu Kanumba. Inauma sana jamani baba yako anapoyashuhudia manyanyaso kutoka kwa mkewe halafu akapuuzia kukukinga. Inauma sana. Simlaumu Kanumba. Niseme ukweli tu naomba Mungu unisamehe yale manyanyaso na kutengwa na baba yangu mzazi kulinifanya niwe na kinyongo moyoni mwangu.
 
ashazikwa umbea autasaidia kitu, tumwache apumzike milele ili turudi kulijenga Taifa letu la walaji na wajinga wengi.
 
Vitu havina thamani isipokuwa tumevipa.
 
Sasa wataka kuniambia kuwa laana ya mzee ndio imemuua?
 
Saa chache sana baada ya mazishi ya msanii maarufu Steven Kanumba kufanyika, huku mamilioni ya Watanzania wakiwa bado hawaamini kilichojiri, mama mzazi wa binti Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu, anayetuhumiwa kuwa mhusika namba moja katika kifo cha msanii huyo, amefunguka kwa mara ya kwanza!



mama Lulu afunguka rasmi - YouTube
 
Nakusupport sana kwakusema kua lulu is innocent na mm naona watu wanaangalia hili jambo out of interest instead ya kuangalia reality...kanumba was a grown up person its obvious yy ndio alikua anamrubuni lulu and we should put all the blame on him....tunamharrase mtu asie nahatia na mimi naona magazeti should think beyond their nose before publicizin vitu.....ua plantin hatrate to people just because of ua bussiness.....i wish lulu could get a compitent lawyer who will smash all the haters
 
Shetani akishaingia sehemu ni ngumu sana kutoka,lazima akamilishe kazi yake!!! Ni vizuri tukaishi maisha ya kumpendeza mungu na kumkataa shetani kwa matendo yetu!!! Lulu hapa ni kama chambo tuu na shetani amemtumia kukamilisha kazi yeke!
 
Sisi tunaotumia visimu vya mchina tulie tu! unapelekwa youtube tena, au unawahi kupost mkuu ili uwe wa kwanza.
 
Huyu dingi noma kweli na ana roho yake, tena mambo ya kugombea maiti. Udongo ni ule ule wa dar or wherever
 
Eh mungu tenda muujiza,
Mama ya Kanumba akamsamehe Lulu!

R.I.P Kanumba
 
Jamani sasa hivi hata tukijadili haisaidii, amemaliza safari yake hapa duniani sasa ni kujifikiria mimi na wewe kifo kitatukuta kwenye mazingira gani.
 
Tena na kitendo cha kumfungia chumbani kimabavu ingekua kesi nyingine kwa marehemu, na yaliyotokea yangeitwa matokeo ya self defence.
Tumuombee Mungu amsamehe makosa yake apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…