Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)


kibaya ni kwamba serikali yako imebariki mauzauza ya kamati ya mazishi
 
kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...[/B]


....acheni mizaha ktk mambo siriaz jaman.....
 
Mzee hata usafiri wa ndege alikataa sasa anataka nini? Mgawo kakosa na Mother SK asimpe tuone atasema nini
 

aisee nimeshituka sana nilipoona hii user name yako,jabulani??samahani lakini unaelewa maan ya hili neno jabulani?naomba unifahamishe kama unafahamu maan yake..na uniambie unafahamu maan gani?
 

This analysis leaves a lot to be disired.
Give us your role model.
Msanii gani ni msafi?
nani ni msafi?
Wewe mwenyewe ni msafi?
usafi wako uko wapi?
Kanumba did his best.
Mazishi yake yameonyesha hivyo.


The best measure of one's behavior is what he/she will do when they know that they will never be found out!
Place yourself in this puzzle.
 
Muigizaji wa Filamu nchini anaehusishwa na kifo cha
Muigizaji Mwenzie,Marehemu Steven Kanumba,Bi
Elizabeth Michael a.k.a Lulu amepandishwa
kizimbani mapema leo asubuhi kwenye Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam kwa
kusomewa mashtaka yake kuhusiana/kuhusika kwa
kifo cha Muigizaji huyo nguli hapa nchini.
Elizabeth Michael amesomewa mashtaka hayo mbele ya
hakimu Agustino Mmbando na wakili Elizabeth Kaganda
ya mauaji ya Muigizaji wa Filamu nchini,Marehemu
Steven Kanumba yaliyotokea huko sinza vatcan jijini
Dar es Salaam april 7 mwaka huu.
Elizabeth Hakutakiwa kujibu chochote Mahakamani hapo
kwani mahakama hii haina mamlaka ya kusikiliza kesi za
mauaji.
Kesi hiyo imeahirishwa na kupangwa kusikilizwa tena
april 23 mwaka huu.
Muigizaji huyo aliletwa mahakamani hapo kwa mwendo
wa kasi chini ya ulinzi mkali wa polisi. Na pia ndivyo
alivyoondolewa Mahakamani hapo kiasi kwamba hakuna
hata mwandishi alieweza kupata picha ya Muigizaji huyo
 
Inasemekana ni Mbunge Captain John Kombe, kazi kweli kweli, sasa hii mijibabu inafanya nini na hawa watoto wadogo haina aibu kazi kubemenda watoto wa wenzao tuu aibuuuuuuuuu tupu.

Nakwambia TACAIDS ina kazi kweli kweli
 
Usiseme maneno makali hivyo hii ni dunia leo kwake bahati mbaya imemkuta kesho inaweza kuwa kwako, tumuombee tu haki itendeke na polisi wafanye kazi yao kwa umakini na uangalifu wasimuhukumu kwa ajili ya kusikiliza maneno ya watu wa nje.

kweli Joycelinee, watu wanaongea kama vile hamna kesho. Hujafa hujaumbika jamani!
 
Mara Ray,mara Idd azani,mara kigogo wa ikulu,mara boflo bob junior,tushike lipi?
Lakini kama miongoni mwa wanaotajwa kuvinjari na mtoto Lulu ni watu waliokaribu na Ikulu/dola, basi muda wowote, lolote laweza kutokea kabla na badala ya kigogo husika kuaibika. Mifano iko mingi; waliohusika na kifo cha Robert Ouko (Kenya), mwandishi wa habari mahiri aliyepewa taarifa nyeti za Dowans na siku hiyo kufarikikwa 'ajali ya gari' yenye utata, mfanyakazi wizara ya ujenzi aliyetumwa kumshughulikia Dr. Harrison Mwakyembe, na baadaye kufariki 'mysteriously', na wengineo (list ni ndefu).Tusubiri kuona yajayo muda si mrefu.
 

utaratibu ni kwamba lazima asomewe shtaka katika mahakama ya chini, ambako hatatakiwa kujibu kitu, kisha faili lake ndio litaamishiwa high court. Kesi zote za jinai zinapitia utaratibu huu
 
Nilijua mengi yatasemwa tu. Fanyeni kazi watanzania achaneni na negative speculations!!!!!
 
Mbona kuna wasichana wengi chini ya miaka 18 wameolewa na wazee na sheria hafuatilii. Wanawake wenye harakati hawaoni au? Lulu kama akikutwa na kosa ashtakiwe hana udogo wowote. Angekuwa mdogo angekuwa darasani.

Tofautisha "kufanya ngono" na mwanamke asiye mkeo mwenye umri mdogo ambayo ni kosa la jinai, na kufanya "tendo la ndoa" kama mwanamke ni mkeo na ana umri chini ya 18 ambayo siyo kosa.

Ndio maana kabla ya kuingia kwenye mijadala ya kisheria lazima tujue muktadha/context ya issue maana sheria iko kimuktadha.

Ndio maana wanaharakati wanapigania umri wa chini wa kuolewa uongezwe na kufika angalau 21 badala ya 15 kama ilivyo kisheria kwa sasa.

Pamoja na harakati hizo, kuna tatizo. Mathalan msichana anamaliza darasa la saba akiwa na umri 15 na kuendelea.Asipochaguliwa kuendelea na masomo akakaa nyumbani bila shughuli au hata kama ana shughuli isiyo rasmi,kuna mambo yanayoweza kutokea ikiwemo mimba maana tunajua pia hawana ulinzi.
Kuna jamii zinaona ni afadhali binti aolewe kuliko kukaa tu nyumbani au kupata mimba nje ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…