Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemkosea sana huyu mzee kwa nini wasifanye kama taratibu za kawaidi wampeleke kiwanjani wamuage halafu wampeleke kuzikwa kwao...Nyerere na Kanumba nani ana marafiki wengi kutoka nje ya nchi? Mbona alipelekwa kwao butiama baada ya kuagwa uwanja wa taifa.
kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...[/B]
"Msianze kuleta maneno yenu ya umbea umbea na uzushi eti hajafika kwenye msiba wa mwanawe kwa kuwa hawaelewani huo ni uzushi, walishaelewana na alikuwa na mawasiliano mazuri na mke wake mama Kanumba na ndiyo maana akatuma wawakilishi wake,"alisema Shibuda.
Hapa hatuzungumzii choices.We are talking about good and evil.Kwamba mwanadamu asiyeweza ku-distinguish between good and evil hana tofauti na mnyama.What do I mean,ni kwamba mtu anayemshabikia Kanumba simply haoni kwamba hakuwa role model katika jamii yetu,which is funny.Kanumba was evil and satanic na mtu yeyote anayemshabikia will most likely be evil.
Masanilo,kama wewe ungekuwa na kipaji cha uchoraji kama kipanya hebu tengeneza picha ya wawili hao kichwani wakijivinjari! Walah utaishia kuzimia kwa kicheko.Capt John Komba
Usiseme maneno makali hivyo hii ni dunia leo kwake bahati mbaya imemkuta kesho inaweza kuwa kwako, tumuombee tu haki itendeke na polisi wafanye kazi yao kwa umakini na uangalifu wasimuhukumu kwa ajili ya kusikiliza maneno ya watu wa nje.
Mara Ray,mara Idd azani,mara kigogo wa ikulu,mara boflo bob junior,tushike lipi?
Lakini kama miongoni mwa wanaotajwa kuvinjari na mtoto Lulu ni watu waliokaribu na Ikulu/dola, basi muda wowote, lolote laweza kutokea kabla na badala ya kigogo husika kuaibika. Mifano iko mingi; waliohusika na kifo cha Robert Ouko (Kenya), mwandishi wa habari mahiri aliyepewa taarifa nyeti za Dowans na siku hiyo kufarikikwa 'ajali ya gari' yenye utata, mfanyakazi wizara ya ujenzi aliyetumwa kumshughulikia Dr. Harrison Mwakyembe, na baadaye kufariki 'mysteriously', na wengineo (list ni ndefu).Tusubiri kuona yajayo muda si mrefu.Mara Ray,mara Idd azani,mara kigogo wa ikulu,mara boflo bob junior,tushike lipi?
Alimpigia shetani akiulizia nafasi kama ipo huko ahera
kuigiza picha pamoja haimaanishi ni close friends,walikuwa kikazi zaidi..
"Elizabeth Hakutakiwa kujibu
chochote Mahakamani hapo kwani
mahakama hii haina mamlaka ya
kusikiliza kesi za mauaji"
Kwani hawakujua kwamba mahakama hii haisikilizi kesi za mauaji? Mis use of resources na time! Kwanin wasiipeleke moja kwa moja kwenye level husika?
Mbona kuna wasichana wengi chini ya miaka 18 wameolewa na wazee na sheria hafuatilii. Wanawake wenye harakati hawaoni au? Lulu kama akikutwa na kosa ashtakiwe hana udogo wowote. Angekuwa mdogo angekuwa darasani.