Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)


haikuingii akilini?! Itaingia tu 1day!
Yote ulotoa ni Majibu.
Wacha wakomeshwe,mapaparaz wamezid,watu wanauchu sana na Lulu,.me nataman aachiwe muongee ad ndimi ziwachomoke kwa kuishiwa mate! Ata ungekuwa wew ungekubali kuwa umeua(though i biliv,hakuua hata kwa makusud)hvyo n haki yake kujitetea.na Polis walifanya vema kumficha,wapambe wengi walitaka kuuza gazet! Na kesi ijayo,mtadanganywa kisutu,af atapelekwa mahakama ya roryaaa Musoma,mumfuate ungo!...heheh
 
Hiyo si ni gharama ya kujenga nyuma nzima kuke mabwepande?
 
kama alitoka chumbani uchi basi hakumuua yeye. muuaji angevaa nguo zake akatokomea. je ni vipi kama marehemu alifia juu na lulu akamsukuma chini na kukimbia na kuogopa hata kuvalia nguo humo chumbani? Hivi wewe unaweza ukajifungia chumbani na marehemu, si utatoka mbio mpaka watu washangae.
 
nimeona 1.55mil?...kama ndivyo sioni gharama ya kutisha hapo...hata raia wengine hufikia kiasi hicho...!
 
Nawewe pia vaa stara ya moyo uache kuhukumu binadamu wenzio. Unamuhukumu huyu binti kwa kigezo gani?
 
lulu anasoma Uganda University hapa bongo
chuo kipo maeneo ya mbagala
na kwenda kwake chuo kila day
ni kwa taxi mazee,
katoto kale ni mwisho wa yote.

Hapo ndipo linapokuja suala la uaminifu wa taasisi zetu zinazotoa vyeti vya kuzaliwa.

Ni simple tu tukitaka kujua ukweli, alikosoma alirejista vipi? Halafu kale katoto kaongo nasikia hata four 4 hakajamaliza ila kalidanganya eti kamemaliza!!!!!
 
komaa mkuu unaweza ukaambulia
manake mfadhili mkuu keshatangulia
linda maslahi ya wajuuu waje kukusugua mgongoni
wakati wa kuoga mkuu wangu Masanilo.

Cheti cha kuzaliwa ndicho kithibitisho! Lulu is only 17 Case closed.
 
Yan mtu ukiota,unakuja direct jf kushuhudia ndoto
 
kale katoto kubeba mimba
labda kwa kushikiwa mtutu,
tena alikuwa anasoma asingekubali kuharibu masomo yake.
 
Siyo Ray utamsikia wakati wa 'cross examination" Kesi iatakapokuwa inazungumzwa.
hata huyu binti ana gari? Dah lazima nipambane mwaka huu na mm nivute kasuzuki.....habari za kiitelijensia zinasema huyo mtu ni vicent kigosi.
 
Nawewe pia vaa stara ya moyo uache kuhukumu binadamu wenzio. Unamuhukumu huyu binti kwa kigezo gani?

Wapi alipohukumiwa?

Jee, hujui kama kafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kifo cha Kanumba?

Ni kipi ulichokisoma hapo ambacho nimemhukumu Lulu? au ambacho ni cha kumzulia, si yeye si Kanumba, wote walikuwa hawana hijab ya moyoni. Kama hujui kusoma vizuri ni bora ungeufyata.
 
Watu wanajadili hadi gharama za makaburi ya watu!!!!!
 
labda watafanya kolabo na Kajala kutoa kitu cha "Prison Break: Segerea "
 
do hii brain concussion imekuwa issue watz bwana hahahaaaa. .
Hapo kwenye miaka nimechoka no more comments kwa kweli mtoto ana mengi huyu! maisha yake ni ya wenye umri more than 30!
 
ni kidogo sana,
Kanumba kaacha mshiko wa kutosha,
ilitakiwa liwe na gharama kubwa zaidi.

R.I.P. Kanumba, hatutakuona tena.
 
komaa mkuu unaweza ukaambulia
manake mfadhili mkuu keshatangulia
linda maslahi ya wajuuu waje kukusugua mgongoni
wakati wa kuoga mkuu wangu Masanilo.
Mfadhili Mkuu!!!?? Unajua aliyemfanyia party ya kuzaliwa? unamjua aliyemnunulia gari? unamjua anayemsomesha? unaymjua aliyemjengea nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…