Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,294
Bado haijaniingia akilini iwaje Jeshi la Polisi lifanye hadaa kwa tukio la kupelekwa mahakamani msaani Lulu?
Waandishi wengi wa habari mpaka sasa hawajui mantiki ya Jeshi la Polisi kufanya usiri huo. Kwanza waliambiwa mahakama ingekuwa Kinondoni na wengine walitangulia huko, kisha habari zikaja kuwa mahakama ni Kisutu!!!
Alipofika hakukaa mahabusu kama ilivyo ada bali alipanda moja kwa moja kizimbani na kusomewa shitaka lake la mauaji.
Baada ya kusomewa na kutakiwa kutojibu lolote aliondoshwa kwa usiri mkubwa sana na gari lililo full tinted!!!!!
Nataumaini mahabusu gereza Segerea hakutakuwa na kama haya ya polisi.
Maswali ya msingi ya kujiuliza,
1.0 Nani yupo nyuma ya Lulu katika yote hayo niyoyaeleza hapo juu?
2.0 Ni ustaa tu?
3.0 Ni kwa usalama wake tu yamepelekea yote hayo?
4.0 Au ni kunuonea huruma kutokana na mkasa uliompata? Na ikiwa hivyo serikali imepata wapi huruma hiyo?
Nawakilisha
haikuingii akilini?! Itaingia tu 1day!
Yote ulotoa ni Majibu.
Wacha wakomeshwe,mapaparaz wamezid,watu wanauchu sana na Lulu,.me nataman aachiwe muongee ad ndimi ziwachomoke kwa kuishiwa mate! Ata ungekuwa wew ungekubali kuwa umeua(though i biliv,hakuua hata kwa makusud)hvyo n haki yake kujitetea.na Polis walifanya vema kumficha,wapambe wengi walitaka kuuza gazet! Na kesi ijayo,mtadanganywa kisutu,af atapelekwa mahakama ya roryaaa Musoma,mumfuate ungo!...heheh