Naamini alimwamini mungu na yesu kama mkombozi wake.
Kwa imani yake yawezekana amekombolewa.
Si wewe wala mimi tuwezao fumbua hilo fumbo!
R.I.P the great nimependa hii!
hakuna mwenye uelewa ila ni kuwa na kiu ya kujua mambo....jambo la muhimu ni kutomhukumu mtu ni kufanya utafiti zaidi na kuibua maswali yenye kuleta uelewano wa siku zetu duniani...Mhhh! Mi napita tu sina uzoefu na hayo mambo endeleeni tuweze kuyajua zaidi
Sheria ikifuata mkondo wake late Kanumba alimbaka mtoto asiyeweza kufanya maamuzi sahihi.Anatafuta njia ya kutoka kwa kisingizio cha umri. Acha sheria ifuate mkondo wake.
Hauruhusiwi kuharibu makusudi.Ila baibo says that ukitubu dakika ya mwisho hata kama ulikuwa mdhambi unasamehewa.Mfano mwizi aliyeangikwa na Yesu msalabani..
Bado haijaniingia akilini iwaje Jeshi la Polisi lifanye hadaa kwa tukio la kupelekwa mahakamani msaani Lulu?
Waandishi wengi wa habari mpaka sasa hawajui mantiki ya Jeshi la Polisi kufanya usiri huo. Kwanza waliambiwa mahakama ingekuwa Kinondoni na wengine walitangulia huko, kisha habari zikaja kuwa mahakama ni Kisutu!!!
Alipofika hakukaa mahabusu kama ilivyo ada bali alipanda moja kwa moja kizimbani na kusomewa shitaka lake la mauaji.
Baada ya kusomewa na kutakiwa kutojibu lolote aliondoshwa kwa usiri mkubwa sana na gari lililo full tinted!!!!!
Nataumaini mahabusu gereza Segerea hakutakuwa na kama haya ya polisi.
Maswali ya msingi ya kujiuliza,
1.0 Nani yupo nyuma ya Lulu katika yote hayo niyoyaeleza hapo juu?
2.0 Ni ustaa tu?
3.0 Ni kwa usalama wake tu yamepelekea yote hayo?
4.0 Au ni kunuonea huruma kutokana na mkasa uliompata? Na ikiwa hivyo serikali imepata wapi huruma hiyo?
Nawakilisha
hayo maneno yanamuumbua mwenyewe
Reast In Peace Mbakaji
Naskia pia zimekutwa ARVs chumbani kwa kanumba baada ya kuutoa mwili wa marehemu
I totally agree with you mama D. sioni mazingira ya huyu mtoto kudhamiria. Yawezekana kabisa hajahusika kwa namna yeyote, labda ni mazingira tu yamemfanya ahusishwe. sie wote tunayafanya aliyoyafanya huyu binti na kanumba. tunagombana sana na mengineyo. Nadhani tunapaswa tuwaonee huruma kanumba na hata huyu binti kwa yaliyotokea. yangeweza kumkuta yeyote kwani sote tunaishi hivyohivyo. kama nikujifunza hakika wote tunalakujifunza hapa. Maisha ya mmoja yameshahathirika, hakuna sababu ya kuona na mwingine ameharibikiwa ndo tufurahi. I will be so happy kuona haki imetendeka. kama alihusika, basi sheria utachukua nafasi yake, na kama hajahusika nadhani apewe haki yake yaani kuwa free. toucher aliyoipata ni kubwa. nisingependa binadam yeyote kukubwa na yaliyompata huyu binti na yaliyompata kanumba.ana wakati mgumu sana huyu mtoto, naamini hakumwuua kanumba na hata kama alikufa kwa ajili yake lulu hakukusudia.
Mungu ana sababu ya kila kinachotokea kwenye maisha yetu naamini na hili la lulu alilijua.......na atakua mtetezi wake
HIVI unacheza na kufa mkuu?Sidhani kama mtu akiwa anajijua anaaga halafu akaendelea kuleta utani.Ni lazima awe siriaz na kujua klila kitu.Unakufa hafu unaomba toba ya uongo?sijakulewa hii toba ya uongo una maanisha nini..Tusidanganye hapa, msije mkafikiri kutubu kwa kuzuga tu kunaweza kukufutia dhambi..eti kwa sababu nakufa ngoja nitubu..never,mungu anaona kila kitu nje na ndani yako,kama toba yako ni kwa sababu tu unataka kufa,moyo wako hautakuwa umetubu,kabla hata haujaanza kuomba toba mungu ameshakusoma na anajua kama unaomba toba kweli au la..Nimeona niongee hili maana kuna watu wanafikiri ni kirahisi tu kwa kusema maneno mengi huku dhamira ikiwasuta!!
Nimeshtuka sana ...kumbe ccm kawaida yenu kufanya kila kitu siasa.......Kama mlifikiri kupata credits kwa rais kumpa mbakaji kanumba million 10 na kugharamia msiba....mmepotea njia...kanumba kashazikwaaa na huo umaarufu umegeuka kituko.....
Kanumba imedhibitika kuwa alikuwa Anampiga bila huruma Yule binti kwa ubapa wa panga......Kama hangekufa ....na taarifa hii ingefikishwa polisi kwa haki ...Kanumba angejeuka babu seya kabisa......you don't know what would be next labda kanumba angemuuwa kabisa lulu...kamjeruhi kwa panga Hadi sehemu zasiri...yet rais na baraza lotela mawaziri wako pale.....
Nadhani nihaki Chadema kutoa Msaada kwa wanyonge wasio na kimbilio.....