Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
Naamini alimwamini mungu na yesu kama mkombozi wake.
Kwa imani yake yawezekana amekombolewa.
Si wewe wala mimi tuwezao fumbua hilo fumbo!
R.I.P the great nimependa hii!
Si kila asemaye bwana,bwana atauona ufalme wa mbinguni!! Huyo mungu aliyemuamini ndiyo anaruhusu kwenye maandiko kunywa Jack Daniel na ku do bila ya ndoa tena na katoto kadogo kahuni(ngono machine)..Sidhani kama hata aliweza kusema mungu nisamehe,kabla ya kukata roho maana kifo kilikuwa ghafla...Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti,jamaa kafia kwenye dhambi,its too bad !!