Kanumba aliokota jamii ya watu wasio wasomi.Watu wanaoshindwa
Kuangalia movie za kizungu kwa sababu hawaelewi.Mimi binafsi sijui
Hata title ya muvi yake yoyote,na yoyote ya kibongo.Nikijaribu
Kuangalia nashindwa,upuuzi mtupu na aibu.I can do better if I have to act.
Wanaompenda kwa usanii ni hao ambao shule yao haitoshi kuelewa dunia
Inaendaje,Kanumba ndi role modal wao,Mkombozi kwenye burudani.
This thread leaves a lot to be desired.
All over the world people act movies using their own local languages.
Na kama aliokota watu wakampenda, then he was a superstar kwa watu wake!
Kupendwa na watu sio lazima uwe na Movie za Kiingereza, hata za kihindi, Yoruba and the like.
What is the matter is the audience.
Kanumba aliweza kuwin his audience.
Ndio wanaomlilia.
What is a big deal?
Mkuu, pisha njia..... waache washariki wa Kanumba wamlilie, wewe nenda kazini uendelee na kazi.
charity began at home, naona you can not come to terms with it!!!!!!
We have seen so many movies, but for a country like Tanzania, Kanumba tried his level best.
I am sure you did not expect to see the James Bond, Michael Douglas, Dan DeVito in Tanzania.....??? Those are the Americans!
Hata mtoto mdogo alianza kwa kutambaaa.......wakati wakina Kanumba wanajitahidi (hao unaosema kwamba huwezi kuangalia cimena zao ni aibu), then walioanza sikiu nyingu kama ndio Hollywood wanatembea:yell: