King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wakufungwa hapa ni alikiba,dr cheni na ray!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh!kumbe ukipanda ndege uzeeni ni hatari ehee!ngoja nizichange ili nije japo huko Arusha niwaone wana jf wa huko.Ya nini afe kwa presha kwa kupandishwa ndege kwa mara ya kwanza uzeeni!...acha amlilie mwanae akiwa nyumbani tu!
Hata kama Lulu ana mimba yeye mwenyewe Lulu hawezi kujuwa hiyo mimba ni ya nani na aliipata lini!!.....kabinti ka miaka 18 a.k.a Wakubwa show ana mabwana si chini ya 20 sasa hapo atajuwa hiyo mimba ni ya nani? hivi watu hawajipendi kweli yaani mcharuko kama Lulu na bado mtu unaingia peku peku bila Condom!! is too bad.
Ficha upumbavu wako, ila usifiche hekima zako Gagulo wewee...
Ukishaonja umekunywa.
Ndio maana waislam wanakatazwa kuonja kitimoto coz watakuwa wamekula.
nashangaa sana sana kuona television ya taifa ikimwonyesha yule mwasherati mkubwa Kanumba ambaye alikuwa anafanya uzinzi na watoto wadogo kama lulu,viongozi wa hii nchi ni ovyo kabisa kwanza rais na waziru mkuu kwenda pale kwenye msiba ni kwamba hawajui tabia za huyu mtu au wanafanya makusudi??huyu alitakiwa ashtakiwe kabla hajafa huyu,ovyo kabisa
na muv nyingine inatwa dereva tax
hii nayo bonge la muv
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.
Hapa tunaongea ukweli mtupu mkuu hakuna mwenye nia ya kumtusi Marehemu wala aliye hai.
Hataki kuuza magazeti!Jamani baba kwnn hujaenda kumzika mwanao? Nilisikia kamati itamtumia usafiri au hakutuma tena?
Mmmh ya kweli hayo? mna ushahidi?