Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

mkuu Hossam si kazi ya madaktari kutaja nani alimtikisa Kanumba, hiyo ni kazi ya Polisi
 
Ya nini afe kwa presha kwa kupandishwa ndege kwa mara ya kwanza uzeeni!...acha amlilie mwanae akiwa nyumbani tu!
Teh teh teh!kumbe ukipanda ndege uzeeni ni hatari ehee!ngoja nizichange ili nije japo huko Arusha niwaone wana jf wa huko.
 
Hata kama Lulu ana mimba yeye mwenyewe Lulu hawezi kujuwa hiyo mimba ni ya nani na aliipata lini!!.....kabinti ka miaka 18 a.k.a Wakubwa show ana mabwana si chini ya 20 sasa hapo atajuwa hiyo mimba ni ya nani? hivi watu hawajipendi kweli yaani mcharuko kama Lulu na bado mtu unaingia peku peku bila Condom!! is too bad.

ah kamuheshimu marehemu kasije msingizia ni ya kanumba, katoto haka jamani
 
Forum ipunguze HATERS, Iongeze GREAT THINKERS. Alikuwa Star na azikwe kama STAR.
 
Ficha upumbavu wako, ila usifiche hekima zako Gagulo wewee...
Ukishaonja umekunywa.
Ndio maana waislam wanakatazwa kuonja kitimoto coz watakuwa wamekula.

Aibu zako eti gagulo! wanalovaa ndugu zako wote wanawake huna adabu na maneno yako speaks volume of your personality! du bora uchi wa mwili kuliko wa akili! that is my summary to all your current and coming insults and bye. .
 
Jamani baba kwnn hujaenda kumzika mwanao? Nilisikia kamati itamtumia usafiri au hakutuma tena?
 
nashangaa sana sana kuona television ya taifa ikimwonyesha yule mwasherati mkubwa Kanumba ambaye alikuwa anafanya uzinzi na watoto wadogo kama lulu,viongozi wa hii nchi ni ovyo kabisa kwanza rais na waziru mkuu kwenda pale kwenye msiba ni kwamba hawajui tabia za huyu mtu au wanafanya makusudi??huyu alitakiwa ashtakiwe kabla hajafa huyu,ovyo kabisa

....hujafa hujaumbika, lako laja...
who are you kumhukumu marehemu?
Watch your words man...
 
na muv nyingine inatwa dereva tax
hii nayo bonge la muv

Mpaka umauti unamkuta Kanumba hakuwahi kuigiza movie nzuri kama Dereva Taxi, Nipende Monalisa, Senior Bachelor na DJ Ben...
JB ndio jembe.
Movie zake ni nzuri, yupo ndani ya ndoa, na hana tashtiti za kishamba kama za hao wasanii wenu.
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.


yah kweli kabisa hii ni chuki binafsi why???????????????
 
kwa taarifa hii lulu bado anakesi ya kujibu sababu huo ubongo haukujichanganya wenyewe ila ni matokeo ya kusukumwa yan asingemsukuma asingeanguka ubongo usingejichanganya asingekufa ila lulu anaeza toka kwenye kesi ya murder ikawa manslaughter
 
Viper amenena sawa kabisa sisi tuna mila zetu, na ndiyo maana tunajadili mambo ya msingi kuafanyika katika nchi yetu. Kanumba angekufa kutokana na mgomo wa madakitari ungesemaje?.
N nikuulize bajeti ya mazishi ya Huyu marehemu kutoka serikalini imepatikana vipi?.
Na ni kipi muhimu kujali walio hai au waliokufa?.
 
Jamani baba kwnn hujaenda kumzika mwanao? Nilisikia kamati itamtumia usafiri au hakutuma tena?
Hataki kuuza magazeti!
Dogo sii alimwambia anajipendekeza bcoz sasa anazo?
Sasa akafanye nn tena dar?Ebu mwacheni akachunge vimbuzi vyake.
 
Mmmh ya kweli hayo? mna ushahidi?

Asa na wewe ushahidi upi unaoutaka?

Ikiwa kama dada yake waliotoka tumbo moja alimpigia simu Baba yake mzazi na kumwambia Kanumba hatunae tena Duniani...coz amefariki baada ya kugombana na mpenzi wake...


Sasa je mpenzi wake aliekuwa nae kwa usiku ule alikuwa ni nani?

Coz ndani ya nyumba aliyokuwa kapanga walikuwa yeye marehemu, Lulu na mdogo wa marehemu...

So lulu alikuwa mpenzi wa kanumba, je lulu ana umri gani?
 
Baba yake na marehemu ametuma muwakilishi na ni John Shibuda! Naona anaanza kutoa ile mipasho yake!
 
Hivi kweli unaweza kuwa na wivu wa mapenzi kwa mtu kama LULU???
 
Back
Top Bottom