Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Nadhani ka inawezekana wangemuacha kwanza kwa muda wasimuhoji chochote, kama kweli aliyemuhoji ni mtaalamu wa psych nadhani itasaidia..Af tatizo jingine hao polisi ndo wanazidi kuchanganya watu kwa kuripoti kila siku habari tofauti tofauti, kwa nini wasimalize kwanza upelelezi wao ndo waje na habari kamili?

Kenyela tayari ameshaharibu kwa kauli yake mbofumbofu.
 
Nadhani ka inawezekana wangemuacha kwanza kwa muda wasimuhoji chochote, kama kweli aliyemuhoji ni mtaalamu wa psych nadhani itasaidia..Af tatizo jingine hao polisi ndo wanazidi kuchanganya watu kwa kuripoti kila siku habari tofauti tofauti, kwa nini wasimalize kwanza upelelezi wao ndo waje na habari kamili?

Kwa kweli hata mimi sijui polisi huwa wanafanyaje chunguzi zao hasa zile za homicide kama hii. Nilikuwa nadhani kuwa the crime scene must be controlled and protected. Lakini inaonkena kama tokea mwanzo kabisa mziba ulikuwa on the scene of crime.

Kwenye suala la kutoa habari kwenye media ndio kabisaaa. Hata wale waliokuwa authorised kutoa habari wanajichanganya. Halafu kuna hawa wanaotoa habari kwenye vyombo vya habari huku wanajua wazi kuwa hawana mamlaka ya kufanya hivyo. Sana sana wanaharibu hata uchunguzi wenyewe.

Polisi wanatakiwa wawe na plans za ku-deal na media during criminal investigations of high profile cases kama hii. Ku-relase appropriate information to the media is critical, otherwise, (and even if) the members of the media may seek out evidence and witnesses on their own. Sidhani kitendo cha ku-reveal that the suspect declined to be interview mpaka alivyoletewa psychologist was a right thing to do.

.
 
Nothing wrong with that because there is no legal case that is sub judice.

And she does deserve assistance. Or doesn't she?

"Heavyweight politicians"? I wanna see some names and judge it for myself if they are indeed "heavyweight".

Of course we can say there is no a case awaiting judicial determination at the moment but could the said intervention interfere with the investigation process? She deserves help but what sort of help from the said "heavyweight politicians"? If it is a general help not involving their political interests, then that will be fine.

But one may worry about interference in police investigation by politicians especially the "heavyweight" ones. We all know about how police independence has been driven by the fear that politicians will interfere in the police decisions in a manner that can adversely affects the impartial application of the rule of law.
 
Hakutaka kutoka kwaiyo alifata nn ucku ule kwa kanumba alhali alishamhint watoke usiku huo?si angebaki zake nyumbani!?so yule mdogo mtu alisikia arguments abt phone conversation tht means hakusikia vzr au kajisemea tu?hapana somethng is wrong somewhere!lulu ana washauri wengi naona kila mmoja anamwambia aseme iki ss anajichanganya tu.
Ata kama atatoka doubts zitakua bado nyingi sana!haijakaa vzr hIi
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Kuna clip nyingine ya video imepatikana ya mdogo wake akihojiwa. Alichosema ni tofauti kabisa na kilichosemwa kwenye story ya Lulu.

Last edited by a moderator:
Of course we can say there is no a case awaiting judicial determination at the moment but could the said intervention interfere with the investigation process? She deserves help but what sort of help from the said "heavyweight politicians"? If it is a general help not involving their political interests, then that will be fine.

But one may worry about interference in police investigation by politicians especially the "heavyweight" ones. We all know about how police independence has been driven by the fear that politicians will interfere in the police decisions in a manner that can adversely affects the impartial application of the rule of law.

That "heavyweight" part is just hyperbolic.

But in the end I think she'll walk free and the death will be ruled an accident.
 
Ni kweli mama umenena tuiachie sheria ichukue mkondo lakini bado napata shida na aina ya malezi ulompa mwanao... kwa hilo tutaendelea kukulaumu
 
Maswali yote hayo yange kuwa yameulizwa na kufanyiwa uchunguzi kwenye nchi za wenzetu. Naweza sema at this point kuuliza maswali hayo ni too late kwa sababu hata wataalamu wanasema muda muhimu wa uchunguzi ni yale masaa24-48 baada ya hapo ushahidi unaanza kupotea. Kwa Tanzania kuhusu hili swala tusha kubali ni "Mapenzi ya Mungu". Hakuta kuja kupatikana majibu sahihi. Marehemu hayupo kujitetea, Lulu chochote atakacho sema kitakua in her defense, na of course Mungu alieona yote hato shuka na kutoa majibu.

RIP SK.
 
Wahenga walisema "samaki mkunje angali mbichi". Huyu mama katika masuala ya malezi kapata sifuri.
 
mwisho wa yote tunarudi palepale ''TAMAA IKICHUKUA MIMBA HUZAA DHAMBI. DHAMBI IKIISHA KUKOMAA HUZAA MAUTI''

Ndugu zangu wapenzi msidanganywe, mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi...
 
Ni kweli mama umenena tuiachie sheria ichukue mkondo lakini bado napata shida na aina ya malezi ulompa mwanao... kwa hilo tutaendelea kukulaumu

mzee usimlaumu mama, kuna watoto wa wachungaji mfano mama rwekatale ni aibu..... wazazi wana play part yao na watoto nao wanachanganya na zao.. so mama lulu hana kosa. tusubiri movie inaendelea
 
heavy weight politicions? whos dude? pinda?LA?...any rumours?D:
 
Sorry najua hichi kifo kimewauma watanzaznia wengi duniani na wapenzi wake huyo marehemu huko west africa (according to JF members). Lakini ukweli wenyewe hichi kifo kingekua kimetokea nchi za wenzetu marehemu sasa hivi ndio anaekula bad publicity Kutembea na mtoto mdogo.

Nchi za wenzetu kabla ya hata mwanasheria wa huyo dada hajafika huko polisi, child protection agencies wangekua wameshafika kuhakikisha hako katoto kako sawa mentally kutokana na mambo yaliyo mtokea na umri wake mdogo kwakuwa yeye ndio mtu wa mwisho kumuona, hayupo kwenye shock na hana akili zake timamu za kuweza kuongea etc.

Na wangeakikisha hawezi kuhojiwa bila ya psychiatrist, social worker na kuhakikisha polisi hawampi pressure kutoa majibu ya wanayowataka wao.

Sasa najiuliza na hili hitimisho la kuwa ni muhusika mkuu na kumbebesha zigo la she has something to do with it, personally i dont think it is right morally kwa sababu hata kama wengi wetu humu si wanasheria the case lucks all the motive of GBH from the outset.

Sielewi kwa nini magazeti yanaruhusiwa kumuhukumu huyu mtoto mapema hivi, if anybody needs to pick up the blame is Kanumba, what are you doing with a seventeen year old girl, tena unataka kumpeleka kwenye vilabu vya pombe na isitoshe umeanza kukajua haka katoto lini?

Nakwambia kwa wazungu hata kuzungumzia scenario ya kifo chenyewe hadharani ni aibu hili kumtunzia heshima marehemu kama alikuwa mtu wa watu hao polisi wenyewe wangesema yaishe tu. Maana huo moto wa child protection agencies and women rights ungekuwa tosha kabla ya hata mwanasheria wa huyo binti kufika.
 
Right now it's just her word against whatever evidence they managed to collect. No smoking gun.

She has a good chance of walking free.
She has complicated her life because of having affairs with a number of men. Could you imagine she was instantly picked from the scene by another man?...du her line was and remains very hot.
 
Kama mimi ningekuwa kiongozi wa nchi,ningeamuru lijengwe Sanamu lenye sura ya Kanumba,kama lilivyo la Baba wa Taifa.
Jamaa kaitangaza sana Tanzania nje ya nchi. Lijengwe either Mwenge,Posta,round about ya kule Mbagala au Kariakoo,au hata Ubungo. Nitachangia mifuko miwili ya Cement.
Ni hayo tu wadau!

Hivi we ushuzi unawajuwa watu hawa?
1. Sheikh Suleiman Takadir
2. Komredi Mshume Kiate
3. Komredi Aziz Ally.
4. Nguli Dossa Aziz
5. Paul Rupia
6. Mark Bomani
7. Kamanda inchief Abdulwahed Sykes na wengine wengi?

usije tena kutoa maombi eti tumuwekee Mnara Kanumba ile hali hao niliokutajia wamelitendea makubwa taifa hili kuliko huyo mtu wako.

So kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe.
 
Nshomile wa kihaya wamekutana. Badala ya kulaani ufuska wa mwanae anatetea! Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Mtoa maoni ni mzima kiakili kweli? Unalinganisha kifo na usingizi halafu bado unajiona uko sawa. Ingawa kulinganisha ni haki yako, si vizuri kulinganisha nyenyere na tembo. Kuna haja ya kupenda kwa kiasi kuliko kupenda hadi mkapoteza akili na maarifa. Nyerere na Kanumba ni mbali mbali sawa na mbingu na ardhi. Huenda Kanumba anaweza kulinganishwa na mwenzie Jakaya lakini si Kambarage jamani.
 
Back
Top Bottom