Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Sorry najua hichi kifo kimewauma watanzaznia wengi duniani na wapenzi wake huyo marehemu huko west africa (according to JF members). Lakini ukweli wenyewe hichi kifo kingekua kimetokea nchi za wenzetu marehemu sasa hivi ndio anaekula bad publicity Kutembea na mtoto mdogo.

Nchi za wenzetu kabla ya hata mwanasheria wa huyo dada hajafika huko polisi, child protection agencies wangekua wameshafika kuhakikisha hako katoto kako sawa mentally kutokana na mambo yaliyo mtokea na umri wake mdogo kwakuwa yeye ndio mtu wa mwisho kumuona, hayupo kwenye shock na hana akili zake timamu za kuweza kuongea etc.

Na wangeakikisha hawezi kuhojiwa bila ya psychiatrist, social worker na kuhakikisha polisi hawampi pressure kutoa majibu ya wanayowataka wao.

Sasa najiuliza na hili hitimisho la kuwa ni muhusika mkuu na kumbebesha zigo la she has something to do with it, personally i dont think it is right morally kwa sababu hata kama wengi wetu humu si wanasheria the case lucks all the motive of GBH from the outset.

Sielewi kwa nini magazeti yanaruhusiwa kumuhukumu huyu mtoto mapema hivi, if anybody needs to pick up the blame is Kanumba, what are you doing with a seventeen year old girl, tena unataka kumpeleka kwenye vilabu vya pombe na isitoshe umeanza kukajua haka katoto lini?

Nakwambia kwa wazungu hata kuzungumzia scenario ya kifo chenyewe hadharani ni aibu hili kumtunzia heshima marehemu kama alikuwa mtu wa watu hao polisi wenyewe wangesema yaishe tu. Maana huo moto wa child protection agencies and women rights ungekuwa tosha kabla ya hata mwanasheria wa huyo binti kufika.

sheria zinaendana na tamadun za watu...... zanzibar 15yrs ni ruksa kuolewa.... hata bara pia
 
nimependa comment yako mkuu;
ufafanuzi kidogo;
1. is it lulu is 17?
2. je hapa huyu mama nkya activist wa haki za wanawake haingii? na hii child protection agency ipo nchini? jamani umasikini huu dah
mwongozo hapo

kuanzia leo, ni marufuku kumuongelea kanumba!!!

BTW: niazime mifuko hyo ya cement nikajengee kaburi la bibi
 
Hivi we ushuzi unawajuwa watu hawa?
1. Sheikh Suleiman Takadir
2. Komredi Mshume Kiate
3. Komredi Aziz Ally.
4. Nguli Dossa Aziz
5. Paul Rupia
6. Mark Bomani
7. Kamanda inchief Abdulwahed Sykes na wengine wengi?

usije tena kutoa maombi eti tumuwekee Mnara Kanumba ile hali hao niliokutajia wamelitendea makubwa taifa hili kuliko huyo mtu wako.

So kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe.

uko sawa!!!!!!
ol raiti..
 
nimependa comment yako mkuu;
ufafanuzi kidogo;
1. is it lulu is 17?
2. je hapa huyu mama nkya activist wa haki za wanawake haingii? na hii child protection agency ipo nchini? jamani umasikini huu dah
mwongozo hapo

tatizo haka katoto kalitangazia uma kana miaka 18 hadi bonge la birthday party alifanya la kuingia ukubwaniw .... sioni kosa la kanumba rip...

labda ije sheria ukitaka kutongoza omba cheti cha kuzaliwa...
 
Nahisi mtoa mada ndiye aliyeandika bongo flavour kwenye mitihani yake ya kidato cha nne.
 
Wewe ni net,ngao,ama mbu..coz i dont thnk ni human
 
She has complicated her life because of having affairs with a number of men. Could you imagine she was instantly picked from the scene by another man?...du her line was and remains very hot.

Huyo jamaa alimleta na pengine ndiye alimpigia simu baada kuona anachelewa kutoka. What a coincidence,,kwamba anatoka tu ndani na huyo jamaa anapita therefore kumpa lift?

Huyo aliye mpick inawezekana ndiye
 
Hivi Lulu anasoma ama she is a proud std seven graduate?
Mamake anafunguka leo? Vibweka vya mwanae magazetini kila leo alikuwa havioni? Laweza kuwa la kuvunda hili!
 
Awa police wa bongo wambeambea tu,ndo kontena jipya la ccp nin!utafanyaje uchunguz kesi kama hii roborobo,af utoe habari! Af waandish uchwara wapo weng mno..lulu akikohoa hao tayar,akpga chafya,hao,akijamba hao..kw msaada wa ao ao polis wasiokuw na maadil.
 
Kwa kiasi fulani huu msiba unafadhaisha. Wanasiasa wameuvamia. Nafasi ya familia imekuwa hafifu sana. Steven hana ndugu, baba mdogo, shangazi, mjomba, mama mdogo, binamu? Tumesikiliza hotuba/salamu za watu baki na bila aibu serikali inatumia msiba huu kutangaza mikakati yake! Hili sio sahihi hata kidogo. Maiti iko mbele yao lakini watu wanaongea mambo mengine kabisa, mara tutaboresha tasnia ya filamu, mara vikao vijavyo vya bunge, mara kiasi cha ubani? How about Steven? Hivi leo ndiyo siku nzuri ya kujadili mipango ya kuboresha tasnia ya filamu nchini?

Lakini, ni lini tutaachana na tabia ya kutangaza mambo ya ubani kwenye maziko? Siku ya maziko ni ngumu sana kwa wanafamilia, the last thing you want hear ni mahotuba ya watu na vijihela vyao. Kama unataka kutoa hela toa kimya kimya na uende zako.

Msiba ulikuwaa wa kisanii zaidi....hivi hata mama mzazi aliweza kuuona mara ya mwisho mwili wa mwanae????
 
Nshomile wa kihaya wamekutana. Badala ya kulaani ufuska wa mwanae anatetea! Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka.

Mtoto hafanyi ufuska. Anabakwa regardless kuna makubajliano au la. Sheria ni msumeno!
 
So she is under police custody and can still send and receive texts? I wanna whatsup her...stories zitakuwa nyingi sana kiukweli! Atatoa versions nyingi mwisho atajichanganya!
What about the "heavyweight politicians" who have been sending her consolation text messages pledging to assist her?
 
Kama ni kweli aliyosema lulu ndicho kilichotokea usiku ule, kuna nafasi kubwa kwake kuwa huru.
 
Back
Top Bottom